Ushauri: Mzee Kingunge ang'atuke Siasa!!!

Ushauri: Mzee Kingunge ang'atuke Siasa!!!

Mwaka 1971 alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha; hiyo ni miaka 40 iliyopita!! Sijui kama ndugu mtoa mada unalijua hilo.

Wachane wajameni huyo Mzee kaachiwa SIRI ya hii nchi na Julius Nyerere!
 
Back
Top Bottom