Ushauri: Mwanaume hapendi kunisaidia

Unaonaje ukafanya kazi yako
Acha kumchuna mwenzako
Dawa yenu ndio hiyo nampa respect jamaa mpaka uzae nae ndio atakupa hela kaona mbele tena mbali sana
Eti akupe pesa now alafu baadae umsaliti

Hili wazo la jamaa yako nitalifanyia kazi siku sio nyingi
 
Dalili ya mvua ni mawingu. Huyo hata ukimzalia hatokupa, ni mbahili tu.
 

Tafuta pesa mama..kuna wenzako hatujui hizo hela za wanaume hatujui take home kutoka kwa hao wanaume...tafuta za kwako tu...pesa sio kila kitu ...cha mtu mavi tafuta chako..kwa sababu anazo ndo maana anakunyima ..ila nahisi hakupendi na shida yake ni mtoto ..mapenzi ni kwenye shida na raha bila shaka huyo atakuwa ni mpare ..
 
Unjua hawa wanawake sijui huwa wanafikiri wanaume no bot kuna wengine hawajui kuwa pesa hasa kwa wakat huu inakuwa na ratiba nyingi za msingi yeye anatanua miguu to nataka pesa sio enz zile izi bana hata kama Nina pesa ming sio za kugawa c nanunua kiwanja too maana unampa akitoka hapo anaomba kwa lijamaa lingine me naona asikiupe too kwanza inaonekana hujitambui wewe ndo maana hakuthamin shubaaamiti
 
Hela ninazo mbwelele yy mwenyewe anajua ila kumpina MTU nk muhimu ujue
Huwa cmtegemei MTU kamwe
 
Nina pesa MTU wangu ila kwa upande mwingine lzm umpime ujue huyu nk MTU wa aina gani co unakurupuka tu
Hapo ulikuwa nk mtego tu kumjua vema tabia
 
Naona hujaelewa post umekurupuka tu
 
Hao ndo wanaume ninao wapenda.
Pesa kivyake na mapenzi kivyake
 
Mwanaume anaekupenda anakuwekeaje vimasharti hata pale unapokua na shida??? Sio mpaka anaekufukuza akuambie toka...
 
Ivi unafikaje na mtu kote uko kama hata mambo madogo tu anashindwa kukushawishi uridhike nae... Hata ayo madogo tu anashindwa kumsaidia anaweka mashart!!! Hajapenda bhn weee.
 
Limwanaume lisilokupa hela la nini? Na zile shombo zao sasa hata hela ya sabuni ya huko chini hakupi? Anazidi kukutanua tu kiharage chako,shoga una moyo!



Hebu tupa kule takataka hiyoo,....mxiuuuu
Wit weeee kula tano shoga angu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…