shushushu_mchokozi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 405
- 265
- Thread starter
-
- #41
Jisepe zako hukonadhani unaamini JF kuna wanaume wa kukusaidia
AsanteNa kweli hakufai jata kidogo, hata ukizaa naye jataweza kutoa msaada, atakuambia mapaka umzalie watoto watano. Piga chini huyo.
Yani kama ulijua vileMantiki ya neno ukizaa na yeye ni kipimo tu cha kutaka kujua mustakabali wa penzi lenu je upo tayari kuwa na yeye. Sio awe anakugharamikia kwa kila kitu halafu kumbe wewe una malengo yako binafsi baadae ukamuacha njia panda na kumkimbia.
Jamaa anaonekana historia yake ameshaumizwa sana mpaka hana imani na wewe mpaka umkubalie kumzalia ili hata ukimuacha ataendelea kuwa na mwanae. Hakuna haja ya yeye kupoteza pesa zaidi kama wewe huna muelekeo kuna baadhi ya ishara ameziona kutoka kwako na hakuelewi elewi msimamo wako ndo maana hataki kuingia kichwa kichwa
Namsaidia sana tuwewe huwa unamsaidia? pia ushasema hakufai unajuaje kama na yeye aishaona wewe haufai? yaani wewe nae humfai
Bila ndoa hapana czaiAsa si uzae nae tu kama anavyotaka?
Umeona épéeAchana nae
Si bure, mimi nitakuwa mchawiYani kama ulijua vile
Eti wanawake ni wajanja sana anasema
Upo sahihi kabisaHapo ukishabeba mimba story yako inaishia hapo, huna mimba hawez kukusaidia, ukishabeba ndio atakujali huyo anakutumia kwa starehe tu na Hana mapenz ya kwel mana mapenz ya kwel nikusaidiana katika shida na raha, nafikir ushasema hakufai hop Hilo ni wazo la moyo wako mana unambiwa sikiliza mashaur yote ila mwisho sikiliza moyo wako unasemaje kuhusiana na Hilo mana moyo hua haudanganyi
KupendanaHivi tunaingia kwenye mapenzi ili tuwe tunasaidia/kusaidiwa?
Nishampiga chini hanifai huyuachana nae wa nn sasa mtu akusaidii ata uwe na shida na ukithubutu tu umzalie utaisoma no mama
Asante sanaUsizae shoga angu
Shampa kibuti hanifaiBado upo nae tu????
Yaani huyo wa kumwaga fasta
Hujazaa hakudaidii ukizaa atawatelekeza
Tupa kule
Nani anataka mwanaume suruali
Hajui maidha kusaidiana????
AbeeeeeeShushushu mchokozi
Duh !Nyie si ndio wale manaosomeshwa na wanaume alafu mkimaliza elimu mnaleta dharau na vijembe kisha mnawasahau kabisa na kusema taja gharama zako nikurudishie????
Hata wewe hufai kuwa naye
Kwani usingekua nae nani angekusaidia?? Kama unauza si umwambie tu awe analipia biliBahari za leo ndugu zangu,
Naombeni ushauri ndugu zangu,
Naona hili jambo kama linaniweka njia panda vile. Nina mwanaume mmoja ni rafiki yangu kimapenzi, ila tatizo lake kubwa ni kwamba hajui kusaidia na ikitokea nikawa na shida nikamuomba jambo kapesa kidogo yeye hanipi ila anasema tu mimi ukizaa na mimi ndio nitakupa hela.
Ndugu zangu huyu naona hanifai hata kidogo.
USHAURI WENU WAPENDWA
baada ya kukunyima pesa au kuna lingine behind the scene?Nishampiga chini hanifai huyu
unataka ndoa ili iweje labda?Bila ndoa hapana czai