Ushauri: Mwanaume hapendi kunisaidia

Nyie si ndio wale manaosomeshwa na wanaume alafu mkimaliza elimu mnaleta dharau na vijembe kisha mnawasahau kabisa na kusema taja gharama zako nikurudishie????
Hata wewe hufai kuwa naye
 
Jamaa yupo sahihi maana nyinyi nivigeugeu kuzaa nae itakua commitment
 
Limwanaume lisilokupa hela la nini? Na zile shombo zao sasa hata hela ya sabuni ya huko chini hakupi? Anazidi kukutanua tu kiharage chako,shoga una moyo!

Hebu tupa kule takataka hiyoo,....mxiuuuu
 
pengine hataki kuwa ''sponsor''
 
Safi sana huyo ndio mwanaume sasa changanya akili ujtaftie mwenyewe
 
Nyie si ndio wale manaosomeshwa na wanaume alafu mkimaliza elimu mnaleta dharau na vijembe kisha mnawasahau kabisa na kusema taja gharama zako nikurudishie????
Hata wewe hufai kuwa naye
Mie co wa hivyo ndugu
 
nadhani unaamini JF kuna wanaume wa kukusaidia
 
Mi naona huyo anakufaa we komaa naye mpaka uzae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…