shushushu_mchokozi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 405
- 265
uko sahihi mkuuSa ushasema hakufai...then unaomba ushaur...tukusaidiaje sasa?
Mnaweza kujua ushauri zaidi kuliko mm navyofikiliaSa ushasema hakufai...then unaomba ushaur...tukusaidiaje sasa?
atakuambia mwanamke kazi yake kuhudumiwa tu je siku mume wake akiwa kilema atafanyaje?Tuanze na wew kwanza
Je yeye akiwa na financial crisis huwa unamsaidia ?
Mantiki ya neno ukizaa na yeye ni kipimo tu cha kutaka kujua mustakabali wa penzi lenu je upo tayari kuwa na yeye. Sio awe anakugharamikia kwa kila kitu halafu kumbe wewe una malengo yako binafsi baadae ukamuacha njia panda na kumkimbia.
Jamaa anaonekana historia yake ameshaumizwa sana mpaka hana imani na wewe mpaka umkubalie kumzalia ili hata ukimuacha ataendelea kuwa na mwanae. Hakuna haja ya yeye kupoteza pesa zaidi kama wewe huna muelekeo kuna baadhi ya ishara ameziona kutoka kwako na hakuelewi elewi msimamo wako ndo maana hataki kuingia kichwa kichwa
Bahari za leo ndugu zangu,
Naombeni ushauri ndugu zangu,
Naona hili jambo kama linaniweka njia panda vile. Nina mwanaume mmoja ni rafiki yangu kimapenzi, ila tatizo lake kubwa ni kwamba hajui kusaidia na ikitokea nikawa na shida nikamuomba jambo kapesa kidogo yeye hanipi ila anasema tu mimi ukizaa na mimi ndio nitakupa hela.
Ndugu zangu huyu naona hanifai hata kidogo.
USHAURI WENU WAPENDWA