Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
Hamna mapenzi hapo..ondoka tu
hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwao mbavu za mbwa
Salaam wakuu,
Mada tajwa ya husika,
Jamani nina msichana nipo nae muda mrefu tu ila ni kwamba hataki nipajue kwao
siijui tatizo ni nini, je kuna kitu anaficha hapo kwao au inakuaje hadi mwanamke akatae kumwonyesha mpenzi wake mahali anakoishi.
Imekaaje kaaje hii wakuu?