USHAURI: Mwalimu mwenye diploma asome nini ili afanyiwe recategorization?

USHAURI: Mwalimu mwenye diploma asome nini ili afanyiwe recategorization?

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
951
Reaction score
412
Wakuu habari,

Diploma ya ualimu muajiriwa serikalini, asome fani gani ili iwe rahisi kufanyiwa recategorization halmashauri?

Mbarikiwe.
 
kwenye hiyo halmashauri ameona kuna upungufu/uhitaji wa kada/taaluma ipi? yeye anapenda kusoma nini? zaidi anataka kubaki hukohuko halmashauri jambo ninaloona halina maana kusoma kitu kipya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom