real???
aisee ila inaonyesha hana watoto wadogo na inaonekena kama hana mpanho wa kuzaa tena
UNAWEZA TUMIA MAZIWA YA MWINGINE?
sema tu
Mpwa kumbe na wewe ni Mtumishi, nadhani tufungue huduma yetu hapa Jf tuiite JF Revival Service!! Tutapata watu tu.Tunamrahisishia. Angekuwa anapenda kusaka suluhu ya kweli ya shida yake angeingia magotini, angefunga na kuomba ili Mungu amnusuru mumewe, lakini kwa Kuwa yeye maana suluhu LA tatizo lake liko Jamii Forums.... wacha wana JF tumpe masolution ya kufa MTU.
NB:-
akiona hajapata suluhu atumie njia Hii.......
Njooni kwangu , ninyi nyote msumbukao na
wenye kulemewa na mizigo, nami
nitawapumzisha. "- Yesu (Mt 11:28)
hatimae nimepewa suspension leo nimeingia ofisin nusu saa iliyopita nimekutana na barua nimeambiwa nipumzike hadi hapo watakaponiita tena!nina biashara zangu nilikua nimeshaziweka hapa hapa Dar za nyumba za kupangisha maanake nilikua najiandaa kwa baadae nikiacha kazi,ndo kitu nilichobaki nacho,nazidi kuelemewa ila nitapambana,cha pombe wangu nimeshamwambia kaniambia leo atawahi mchana huu tuongee! asanteni kwa usauri wenu!
Mkamulie maziwa yako kama unanyonyesha bibie!!trust me atatapika hatareee na hapo ndo utakua mwisho wa kua chapombe!! Ila hizi ndoa jaman mnavumilia mengiii
Sio shekh twain Kahtain aka Bill Cosby?