Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,880
Habari JF.
Basic needDogo achana ns wanawake, tafuta pesa utakuja kunishukuru
Basic need
1.Food
2.clothes
3.shelter
4.sex.
Pesa natafuta ila.wanawake muhimu sana...
Kuna point hapo japo imejifichaSijajifunza kitu hapa! Ahsantee kwa kushiriki
Miaka 20 anawaza wanawake, tena anaogopa kuwatenda😊Hayo mahitaji muhimu utayamudu bila ya kuwa na hela, dogo acha ubishi tafuta hela. Alafu nyie madogo mkiambiwa mtafute hela mnaona kama mnasemwa.
Amna kitu hapo! Huyo jamaa namjua hanaga point miaka 100Kuna point hapo japo imejificha
Miaka 100 umemjulia wapi wakati wewe uko na miaka 23?Amna kitu hapo! Huyo jamaa namjua hanaga point miaka 100
Sasa kama kaliwa na waume za watu saba, wewe una nini Cha kumpatia?Kivipi
😂😂😂😂Avute bangiMiaka 23 dogo tulia kwanza, vuta pumzi, vuta bangi.
Miaka 23 ni mda wa kutest mitambo, kupima urefu nk. Unataka ukae na mwanamke mmoja na miaka hiyo?
Life starts at 40.
Tembea na huu ushauri Russian BoyDogo achana na wanawake, tafuta pesa utakuja kunishukuru