Ushauri muhimu kwa Mo Dewji

1.Achukue likizo nje akapumzike,
2.A check afya yake nje kuhusu simu
Aweke chips mwilini mwake inasaidia kujimonita.
3.Awe na walinzi ikibidi toka nje tena ni ma ex commando ambao wameifuzu moto combati,anawaombea vibali vya kazi tu.
4.Dereva wake awe commando sio dereva just dereva tu
5.Awe na gyme yake home kutoka alfajili ni hatari
6.Asiwaamini sana watu,Maana kuna wengine wenye nia ovu wanaweza Fanya kweli ili kuichafua sirikali kwa ajenda yao.
7. Awasamehe wahusika, kama anawajua au hawajui,asifanye press conference,itamletea bifu na hao wazungu wawili nguli, ailiachie juu kwa juu,kwa uzoefu wa matukio kuanzia kina Roma ni nadra kutekwa mara Mbili japo sio la kuliamini ili.
8. Asiache kuendelea kuisaidia jamii ilipiga kelele sababu aliwekeza kwenye jamii.
 
Mo ana maisha yake..usimpangie..nyie chadema mbona mmetokea kujipendekeza sana kwa MO..mnadhani atawafadhili ufipa..?? Pesa za mzee sabodo mlifanyia nini cha maana??
Una lako jambi, hoja ilikuwa ni Mo chadema wameingiaje hapo?
 
Maskini Ana kitu gani Cha kumshauri Tajiri

Tajiri Hata kushauriwa kaajiri Mtu wa kazi hiyo

Wewe tushauri Maskini wenzio umuhimu wa kuvaa kofia ngumu tunavyopanda maboda boda yanayoendeshwa Na Wanywa viroba
Huyu katika ni bondia @floydmayweather . Bondia!.jpg
 
Maskini Ana kitu gani Cha kumshauri Tajiri

Tajiri Hata kushauriwa kaajiri Mtu wa kazi hiyo

Wewe tushauri Maskini wenzio umuhimu wa kuvaa kofia ngumu tunavyopanda maboda boda yanayoendeshwa Na Wanywa viroba
Hahaha
 
Unaonekana unataka kuomba ukoo na wewe uitwe Kajamba nani Dewji, angalia utaolewa maana ufipa mnajipendekeza mpaka mume wenu Mbowe memsahau kabisa
 
Mo tafadhali usiwe mnafki tafadhali ongea na jamii ueleze kinagaubaga ni Nani waliokuteka manake unawafahamu.
Usiwe mnafki ongea ukweli utaheshimika kulipo ukiamua kuwasikiliza waliokuteka na kukaa kimya
 
Ukitaka kujua ni ngumu, nenda kamuulize yule msanii aliyewah tekwa
 
Huu unaitwa ushauri maridhawa ... Ha ha ha ha haaa ...

... wazungu wanna lafudhi ya kitswana Du!!! Ha ha ha ha ha haaaa

Yaaani wanazidi kuyatindinganya tu ... na kawaida jambo ukilitindinganya tu baaaasi ndio linazidi kutindinganyika ...

Sirro kuyatindinganya kweli kweli basi tu watafanyaje ... Ndio ivo Tena mtoto kaunyea mkono ...
 
Hahaha umeona wazungu wana lafudhi ya kitswana
 
Back
Top Bottom