Mnyakyusa Ipinda
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 439
- 1,526
Nipo Dar mkuuLocation upo wapi?
Shukrani kwa ushauri mkuu, ni wazo jemaMkuu nenda sokoni nunua matunda mfano mananasi mwaga chini uza hata hapo mtaani kwako
Mungu akufanyie wepesi kwenye hitaji lako na abariki kazi ya mikono yako
kakaa,Wakuu habari za wakati huu, i hope mko wazima wa afya na mlio dhaifu basi Mungu awatie nguvu.
Niende direct kwenye hoja yangu. Nimekua very broke kwa kipindi cha miezi michache tangu kibarua changu kipeperushwe na issue ya Corona, sasa nimepata kamtaji ka laki moja ninako hapa. Nahitajo ushauri ndugu hasa kwa wazoefu wa biashara za mitaji midogo. Niwe muwazi sijawahi kufanya biashara ndogo ndogo, ila usijari kuhussu strength zangu, ninaweza kufanya kikamiliu, alimradi inaniingizia vichenji chenji its fine kwangu.
Manake hali si hali mtaani, hapa nina madogo wawili wa kike wanantegemea na wako chuo natakiwa niwalipie ada before end of December, sijakata tamaa bado najua Mungu yupo pamoja na mimi, basi mwenye wazo zuri linalofaa kuanza hata kesho basi karibu kwa maoni yako. Pia naosha magari jamani, kama una magari nyumbani kwako au kwenye ofisi yako basi unaweza kuniungisha mdogo wenu nakuja nakuoshea gari yako, naipiga polish, wax kwa pesa kidogo tu.
Nakaribisha michango yenu wadau katika utaftaji.
Na hii unafanya jioni tu! au kwanzia saa tisaa, zingatia usafikakaa,
kuna dili la kuuza nyana ya kuku, kurost
mahitaji
1: eneo lenye watu wengi ambayo biasha hyo haipo!
2. Nunua jiko la mkaa (20000 pamoja na mkaa)
3. sijui uko wap!!!! anaza na kuku wa 20000/=
4. mafuta ya 15000
5. meza ya kuuziaa
6. additional cost 20000
juma 75000
ila angalia jinsi wanavyoandaa, hyo biashara ina faida sana baada ya mwezi ROI utaanza ku-realize!
Wazo zuri ndugu. Ni wapi wanafanya hii kesho nikasurvey faster nipate info mbili tatu mkuukakaa,
kuna dili la kuuza nyana ya kuku, kurost
mahitaji
1: eneo lenye watu wengi ambayo biasha hyo haipo!
2. Nunua jiko la mkaa (20000 pamoja na mkaa)
3. sijui uko wap!!!! anaza na kuku wa 20000/=
4. mafuta ya 15000
5. meza ya kuuziaa
6. additional cost 20000
juma 75000
ila angalia jinsi wanavyoandaa, hyo biashara ina faida sana baada ya mwezi ROI utaanza ku-realize!
Ivii hii shughuli inalipa?Chukua tsh 50,000 anza kubet mpira wa miguu kila jumamosi na jumapili tu jitahidi ufikishe 2 odds kwa kila jmos na jumapili, ambapo kama ukiweza kupatia jumapili 4 na jumamos 4 za mwezi utavuna faida ya sh lak 4. Odd ya 2 kwa jumamos na jpili hupatikana kirahis kuliko kwa siku za kati ya wiki. Ukipata tamaa ya kubet odd kubwa ili upate hela nyingi prob ya ushindi inakuwa ndogo.
Thanks sana boss, sijawahi kubet ndo tatizo langu, yani sijawahi hata kujaribu ndugu hivyo inakua sio rahisi kidogo unless niwe na mtu mzoefuChukua tsh 50,000 anza kubet mpira wa miguu kila jumamosi na jumapili tu jitahidi ufikishe 2 odds kwa kila jmos na jumapili, ambapo kama ukiweza kupatia jumapili 4 na jumamos 4 za mwezi utavuna faida ya sh lak 4. Odd ya 2 kwa jumamos na jpili hupatikana kirahis kuliko kwa siku za kati ya wiki. Ukipata tamaa ya kubet odd kubwa ili upate hela nyingi prob ya ushindi inakuwa ndogo.
Kama unazifaham timu za ushindi mf. Ac milan, rb salzburg, lask linz, bodo, molde na timu za kufungwa tu basi kila wk utapiga hela. Ukiweka tamaa utachana tu mikeka.Ivii hii shughuli inalipa?
Asilimia 90 ya watu wanaopenda na kujua mpira ama michezo mengine mf tennis nk wanabet. Mda mwengine uhitaj mzoef kila ikicheza simba, yanga au azam ujue kuna ushind au draw tayar unapata hela.Thanks sana boss, sijawahi kubet ndo tatizo langu, yani sijawahi hata kujaribu ndugu hivyo inakua sio rahisi kidogo unless niwe na mtu mzoefu