Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,583
Hahahaha siku ukienda kuchukua NOAH nishtue kamanda naona watu wameanza kuchukua zaoJF sasa hivi karibu kila mtu ana gari au ndio zile NOAH za makinikia zimeshatoka tuambizane na mimi nikachukue lisijepigwa mnada!
Mkuu mimi ni vice versa ya hayo yotr hapo juu.Lolote linawezekana jf wote tumezaliwa mjin wote tuna kazi, pesa, wote tumewai kupanda ndege, wote tuna nguvu za kiume magoli6++/4hrs
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Unaishi na tomboy nini mkuu??
wenzio wana dawa ya kuiua nguvu hiyo yako......wanaouza anti virus ndio watengeneza virus pia.....Cku ukinasa ndo mm natakuja kujutoa kwa kukusukumia nyama, kula wa wengine na anayehitaji hii dawa aje inbo. Impatie, nataka tukomeshe wanaopenda wake za watu, nimepewa kutoka kenya, mwenzangu katest kigoma mtu kanasa.
Mkuu hii naona umekuwa namba 2!![emoji2] [emoji2]Unaishi na tomboy nini mkuu??
Hamna tatizo loloteMkuu hii naona umekuwa namba 2!![emoji2] [emoji2]
Ipo siku.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bado. Na nitazimia siku napanda hiyo ndinga
Mnunulie vizuri avae km anavaa vibayaWakuu habari zenu,
Mimi nina msichana wangu nikajua nitakubadilisha, cha kushangaza nampatia hela ili aweze kwenda Mwenge pale asagule sagule kwenye mitumba lakini mwenzangu ndo hamna kabisa.
Anavaa minguo mibaya kama ya wanaume, mda mwingine nikiwa napita Mwenge naona watu wamependeza kinadada wapo busy na kusagula sagula, natamani hata kuwapa lifti niongee nao.
Najaribu sana kumwambia huyu mpenzi wangu kila mwisho wa mwezi nampa laki 2 asuke anunue vinguo vizuri lakini wapi, mpaka mimi mda mwingine naenda naunua namletea lakini ndo hivyo hata urembo mwenzangu haujui, na mimi napenda mwanamke mrembo wakati namchukua nilijua nitambadilisha ila sasa nanyoosha mikono natamani nimpige tu chini.
Naombeni ushauri.
mkuu umependa waridi bas vumilia miiba, weka msisitizo unapoongea nae onyeshwa kukerwa na tabia hiyo mrekebishe kama anakupenda atabadilika niaminiHajui kupangilia, aisee hapendezi km wengine naowaona
Yani kuna watu wanadhani maisha wanayoishi wao basi ndio kila mtu awe hivyo.Hivi bado kuna watu mnaona gari big deal zama hizi? Gari hadi 3m unapata? Mnapenda kusikia stori watu wanapata shida tu mtu akisimulia vitu fulani vidogo nongwa.
Nimejifunza vitu vingi humu JF. Kuna watu ukisema una gari wanachukia, ukisema una nyumba wanachukia,ukisema umeenda vacation SA,US etc wanachukia. Ukitaka wafurahi wewe sema leo asubuhi wakati nagombea daladala kiatu kimebanduka soli au leo mama mwenye nyumba katupa vyombo nje sina kodi watafurahi sana.Yani kuna watu wanadhani maisha wanayoishi wao basi ndio kila mtu awe hivyo.
Mtu akiwa na mali zake akisema kuna tatizo gani kwnz ndio vzr ananipa challenge namm niongeze bidii nipate vyangu. Kama mtu umeshakata tamaa na maisha uliyonayo basi waache wenzio waendelee