Ushauri: Msichana anadai nimembaka ndotoni

[emoji39] ss inabidi umwambie afate ndoto yake ili mambo yakwende mukide (mega baba maisha yenyewe tight[emoji52] [emoji11] [emoji6] )
 
Kama ni kweli kakuambia hivyo chukua hatua ya kupiga mashine tena porini siyo gesti shenz zenu
 
Ameshakufungulia mashtaka?
 
Mwambie ukweli tu,huenda ulitumia ndumba nangai kumbaka.
 
Yaani ingekuwa unavyoota ndoto na demu ulie muota nae kwa waqt huo huo nae anaota ndoto kama weye basi mambo mengi yangerahisishwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…