Ushauri: Mke wangu kanikasirikia anadai hapendwi na ndugu zangu

In brief:nikwamba nilipo pata mtoto kulikuweko kshfa flani zikitoka kwa famia yang ila mimi nikua nacukulia kama utan flan ila wife alikua yupo serious nazo kabsa soo nikajthd kuwakomesha kabsa zikawa zimeisha ila juzi nipo kua naongea na mama yqng mzaz ilibd mama ka gusia ile topic yq kashfa bas wife akawa amekasirika yan had sasa ameapa kuto kuongea na yyt kweny familia yang kwa madai kwamba mtoto wak hapendwi mana ak na yy pia hapendw kweny familia !
SASA SIUSEME TU KUWA WANASEMA KUWA MTOTO HAJAFANANA NA WEWE NA WANAHISI KUWA SIO WAKO ...WAOGOPA NINI KUSEMA WAKATI WATUMIA FAKE ID ...KWELI WWE BADO MGENI HUMU ...
KAMA WATAKA MSAADA WAKUSHAURIWA HUMU YAKUPASA KUWA MUWAZI ILI WATU WAJUE KUWA WANAPASWA KUANZIA WAPI KATIKA KUKUPA USHAURI ..KUNA WATU WALIKUWA WANATATIZWA NA MAMBO MAZITO ZAIDI YAHILO LAKWAKO LAKINI WALIPOJARIBU KUWA WAWAZI WAMEPATIWA TIBA YA USHAHURI NASAHA KABISA ..NAMAISHA YAO YANASONGA ..BE SPECIFIC
 
nilimuambia apotezey ila bado anacukulia serious ,,kashfa yenyew ni kwamba wanadai mtoto ana puwa likubwa eti sbb eti kwamba uko wetu hmna mwenye puwa likubwa ila naona ni sbb wanamuona kweny pica tuuu sbb mimi naona dogo ni handsome kama mimi baba ake!!so wife anaposkia kashfa hizo zinamuuma na pia zinauma ila nimejthd kuzizima !
hahahaa hao watu wakwenu kweli waswahili ...hahahaaaaa aiseeee
 
Habari za sa izi ndugu zangu,

Mimi kama mnavoona hapo ni mwana jamvi mpya ila kitambo nilikua naifatilia JF ila bado nilikua sijawa mwana memba rasmi kwasababu flani flani vile.

Kiufupi mimi ni kijana mwenye miaka 31 nimeoa na mtoto mmoja wa kiume, mimi kuna mambo fulani nahitaji msaada wenu nimeowa miaka mi 3 iliopita na mnamo mwaka jana 2017 nimebahatika kupata mtoto wa kiume, ilijulikana kwamba mimi sipo inchini toka 2012 nimemuoa mchumba wangu tulikua nae kitambo kwenye mapenzi kanivumilia sana hadi nikamuoa.

Kiufupi baada ya mke wangu kujifungua nilijulisha familia yangu na pia akawa tumia mtoto ila comment zikawa kibao kwa mtoto ila nikajitahidi kuzizima kwa namna moja ama nyingine baadae hapo ilibidi mke wangu awe kama mwenye kukasirikia, ndugu zangu kutokana na comment zilizokua zinatoka kwa ndugu zangu ila nimejitahidi sana kuzizima mambo yakaisha.

Juzi juzi nikiwa naongea na mama yangu mzazi kwa simu aligusia ile ile topic na ikawa haijamridhisha mke wangu kabisa mpaka sasa navoongea mke wangu kanikasirikia, kamkasirikia mama yangu, kakasirikia my whole familly kwa madai kwamba hapendwi kwenye familia yangu so nahitaji mawazo yenu sana kwa wale wahenga na uzoefu wa mambo ya ndoa.

Ahsanteni!
Mama yako na Dada zako labda wamecheki DNA kwa njia ya asili wanahisi mtoto siyo wako, au baada ya kuoa mkeo huwa anaombwa pesa na ndugu zako hafu yeye anawabania
 
Ungesema wanamkasirikia mtoto kivipi??kwann hawampendi ?? .

Yaaan wanahisi sio wakwako ??.

Ofcourse hamna mzazi asojua damu yake ,piga ua galagaza .

Muhimu , embu ambatana na mkeo na mwanao kwenu nenda mkasot out izo tofauti , alafu ni ujinga wa hali yajuu ndugu zako tena wazazi wako waijue familia yako kwa picha .

Mpeleke mtoto nyumban , abebwe na bibi nababu yake ...

Sema hongera sana , maana unampenda mkeo alafu hujal nn wanachosema juu ya mwanao ,wee unachojua niwako naatabaki kua ivo !!!

Karibu JF , mtafute mtu anaitwa Joseverest ndio Mshaur wakesi zilizoshindikana.
Mkuu michango yako huwa naielewa kinouma.... Naona unachimba pindi deepkama vile unatoa lecture....
 
Habari za sa izi ndugu zangu,

Mimi kama mnavoona hapo ni mwana jamvi mpya ila kitambo nilikua naifatilia JF ila bado nilikua sijawa mwana memba rasmi kwasababu flani flani vile.

Kiufupi mimi ni kijana mwenye miaka 31 nimeoa na mtoto mmoja wa kiume, mimi kuna mambo fulani nahitaji msaada wenu nimeowa miaka mi 3 iliopita na mnamo mwaka jana 2017 nimebahatika kupata mtoto wa kiume, ilijulikana kwamba mimi sipo inchini toka 2012 nimemuoa mchumba wangu tulikua nae kitambo kwenye mapenzi kanivumilia sana hadi nikamuoa.

Kiufupi baada ya mke wangu kujifungua nilijulisha familia yangu na pia akawa tumia mtoto ila comment zikawa kibao kwa mtoto ila nikajitahidi kuzizima kwa namna moja ama nyingine baadae hapo ilibidi mke wangu awe kama mwenye kukasirikia, ndugu zangu kutokana na comment zilizokua zinatoka kwa ndugu zangu ila nimejitahidi sana kuzizima mambo yakaisha.

Juzi juzi nikiwa naongea na mama yangu mzazi kwa simu aligusia ile ile topic na ikawa haijamridhisha mke wangu kabisa mpaka sasa navoongea mke wangu kanikasirikia, kamkasirikia mama yangu, kakasirikia my whole familly kwa madai kwamba hapendwi kwenye familia yangu so nahitaji mawazo yenu sana kwa wale wahenga na uzoefu wa mambo ya ndoa.

Ahsanteni!
Sikujuaga kama bado kuna wanaume wenye kustand kwa wao zao zidi ya unyanyasaji wa ndugu.....ila pole kwa kununiwa
 
mbona kila kitu nimewka wazi hapo!kwamba mtoto ana kashfiwa ana pua kubwa wife anaposkia habar hizo na wanapo ongea hivo vina muuma ila sista walikua wanaongea hivo nikawa nimewa stop ivi wameka kimya yey wife anacowaza ni kwamba wanapo towa kasha kwa mtoto mama ak hawampend mtoto wetu soo hapo hapo anawaza kwamba na yy pia hapendwi kwa sbb mtoto hapendwi!!!
 
Hilo kweli kama mtoto hapendwi je mama yake, hapo ningeelewa kama mtoto anapendwa lakini mama yake hawampendi wanataka damu yao tu, jaribu kuwaelesha ndugu zako na huyo mama yako naye kazidi jamani wakati mwingine kama ndugu zako midomo yao haina perfume uwe unawapigia ukiwa kazini ili wakibweka mnamalizana huko huko, mke naye binadamu embu piga picha siku mkienda naye huko kwenu atakuwa huru kweli na mwanaye ndugu zako watakapo mchukua inabidi uwakanye waache nawe usawazishe kwa mkeo
 
mbona kila kitu nimewka wazi hapo!kwamba mtoto ana kashfiwa ana pua kubwa wife anaposkia habar hizo na wanapo ongea hivo vina muuma ila sista walikua wanaongea hivo nikawa nimewa stop ivi wameka kimya yey wife anacowaza ni kwamba wanapo towa kasha kwa mtoto mama ak hawampend mtoto wetu soo hapo hapo anawaza kwamba na yy pia hapendwi kwa sbb mtoto hapendwi!!!
Mwambie mkeo,ndugu zako wanapenda utani asichukulie kweli
 
We ni mwanaume inakupasa ujue ndugu zako wana hila! Hasa mama yako mzazi
Maneno yanauma wanaume nyie hamjui tu ila maneno yanauma mnoo na mkeo nae ni binaadam anaumia kwa vijembe na kashfa cha kukushauri mbembeleze mkeo na usi entertain tena upumbavu wa kashfa za nduguzo kwa mkeo huyo ni ubavu wako kwa hiyo lazima uheshimiwe
Inawezekana kulikuwa na mchepuko brother alioufanya wife, sasa wewe hujui ila nduguzo na wazazi wako wamegundua picha hiyo kwamba umeibiwa mgosi!! Ila mwisho wa siku kama mwenyewe umeridhika na mtoto wako basi kula jiwe tu!! Lakini ndugu kama ndugu hisia zao lazima wazitoee!!
 
hao ndugu zako wanakupanda kichwani sasa huyo mtoto ni wako sasa pua yake ina wahusu nn...ulivyokuwa unakua nadhani hauku demand respect kwa wazazi wako matokeo yke unapelekeshwa tu..mama angu anaanzaje kukaa na mimi serious kumtoa kasoro mwanangu tena ya pua!!
 
Back
Top Bottom