Ushauri: Mke wangu kanikasirikia anadai hapendwi na ndugu zangu

nilimuambia apotezey ila bado anacukulia serious ,,kashfa yenyew ni kwamba wanadai mtoto ana puwa likubwa eti sbb eti kwamba uko wetu hmna mwenye puwa likubwa ila naona ni sbb wanamuona kweny pica tuuu sbb mimi naona dogo ni handsome kama mimi baba ake!!so wife anaposkia kashfa hizo zinamuuma na pia zinauma ila nimejthd kuzizima !
Dogo anamaliza oxygen ya ukoo ama? Mama yako nae
 
Huyu jamaa anafichaficha tu. Inaonekana kabambikiwa mtoto nduguze wameshtuka. Pua tu haiwezi leta mtafaruku.
 
Mkuu unashindwa funguka halaf andika vizuri ueleweke kinachoonekana familiar yako wana wasiwasi na mtoto wako kuwa umebambikiwa na mkeo lakini wewe ndio baba ebu angalia mtoto wako jiangalie na wewe na mama ake
 
Ahahaaa
 
Habari za sa izi ndugu zangu,

Mimi kama mnavoona hapo ni mwana jamvi mpya ila kitambo nilikua naifatilia JF ila bado nilikua sijawa mwana memba rasmi kwasababu flani flani vile.

Kiufupi mimi ni kijana mwenye miaka 31 nimeoa na mtoto mmoja wa kiume, mimi kuna mambo fulani nahitaji msaada wenu nimeowa miaka mi 3 iliopita na mnamo mwaka jana 2017 nimebahatika kupata mtoto wa kiume, ilijulikana kwamba mimi sipo inchini toka 2012 nimemuoa mchumba wangu tulikua nae kitambo kwenye mapenzi kanivumilia sana hadi nikamuoa.

Kiufupi baada ya mke wangu kujifungua nilijulisha familia yangu na pia akawa tumia mtoto ila comment zikawa kibao kwa mtoto ila nikajitahidi kuzizima kwa namna moja ama nyingine baadae hapo ilibidi mke wangu awe kama mwenye kukasirikia, ndugu zangu kutokana na comment zilizokua zinatoka kwa ndugu zangu ila nimejitahidi sana kuzizima mambo yakaisha.

Juzi juzi nikiwa naongea na mama yangu mzazi kwa simu aligusia ile ile topic na ikawa haijamridhisha mke wangu kabisa mpaka sasa navoongea mke wangu kanikasirikia, kamkasirikia mama yangu, kakasirikia my whole familly kwa madai kwamba hapendwi kwenye familia yangu so nahitaji mawazo yenu sana kwa wale wahenga na uzoefu wa mambo ya ndoa.

Ahsanteni!

Mtu atakeelewa huyu mwana alichoandika anijulishe aisee!

Nimetumia ujanja wangu wote sijakuelewa kabisa mkuu!
 
Hata Yesu pamoja na miujiza yote aliyoifanya bado Wayahudi walimchukia. Mkeo ni nani asichukiwe?
Swali kwako: Wewe kama mwanaume umeamuaje?
 
Kweli best amwangalie mtoto vizuri halaf kitanda hakizai haramu hiyo ni mtoto wake
Wazazi mnaweza kuwa na muonekano mzuri lakini mkazaa usiku au unakuta wazazi sura zenu Mungu aliwaumba wakati kachoka na alikuwa hajamalizia pua kaitupia tuvbila tu bila kuangalia kama kaisiliba vizuri lakini mtoto anatoka mrembo hao ndugu waende zao huko
 
Habari za sa izi ndugu zangu,

Mimi kama mnavoona hapo ni mwana jamvi mpya ila kitambo nilikua naifatilia JF ila bado nilikua sijawa mwana memba rasmi kwasababu flani flani vile.

Kiufupi mimi ni kijana mwenye miaka 31 nimeoa na mtoto mmoja wa kiume, mimi kuna mambo fulani nahitaji msaada wenu nimeowa miaka mi 3 iliopita na mnamo mwaka jana 2017 nimebahatika kupata mtoto wa kiume, ilijulikana kwamba mimi sipo inchini toka 2012 nimemuoa mchumba wangu tulikua nae kitambo kwenye mapenzi kanivumilia sana hadi nikamuoa.

Kiufupi baada ya mke wangu kujifungua nilijulisha familia yangu na pia akawa tumia mtoto ila comment zikawa kibao kwa mtoto ila nikajitahidi kuzizima kwa namna moja ama nyingine baadae hapo ilibidi mke wangu awe kama mwenye kukasirikia, ndugu zangu kutokana na comment zilizokua zinatoka kwa ndugu zangu ila nimejitahidi sana kuzizima mambo yakaisha.

Juzi juzi nikiwa naongea na mama yangu mzazi kwa simu aligusia ile ile topic na ikawa haijamridhisha mke wangu kabisa mpaka sasa navoongea mke wangu kanikasirikia, kamkasirikia mama yangu, kakasirikia my whole familly kwa madai kwamba hapendwi kwenye familia yangu so nahitaji mawazo yenu sana kwa wale wahenga na uzoefu wa mambo ya ndoa.

Ahsanteni!

Your wife comes first before you family, protect your wife, ndugu na wazazi sometimes wana matatizo sana, you left your father and mother and start your own family, that is your new family, that should be your priority.
 
Hawks HHAHAHAHA HLO TOTO LENYE PUA KUBWA NDO HLO PICHANI? ASEH KWELI LINA PUA LIKUBWA BALAA NA KAMA KWENYE FAMILIA YENU HAKUNA MWENYE PUA KUBWA, NI WAZI HUYO MTOTO SI WAKO, AU MKEO ANA LIPUA LIKUBWA? HAHAHAHA
 
Habari za sa izi ndugu zangu,

Mimi kama mnavoona hapo ni mwana jamvi mpya ila kitambo nilikua naifatilia JF ila bado nilikua sijawa mwana memba rasmi kwasababu flani flani vile.

Kiufupi mimi ni kijana mwenye miaka 31 nimeoa na mtoto mmoja wa kiume, mimi kuna mambo fulani nahitaji msaada wenu nimeowa miaka mi 3 iliopita na mnamo mwaka jana 2017 nimebahatika kupata mtoto wa kiume, ilijulikana kwamba mimi sipo inchini toka 2012 nimemuoa mchumba wangu tulikua nae kitambo kwenye mapenzi kanivumilia sana hadi nikamuoa.

Kiufupi baada ya mke wangu kujifungua nilijulisha familia yangu na pia akawa tumia mtoto ila comment zikawa kibao kwa mtoto ila nikajitahidi kuzizima kwa namna moja ama nyingine baadae hapo ilibidi mke wangu awe kama mwenye kukasirikia, ndugu zangu kutokana na comment zilizokua zinatoka kwa ndugu zangu ila nimejitahidi sana kuzizima mambo yakaisha.

Juzi juzi nikiwa naongea na mama yangu mzazi kwa simu aligusia ile ile topic na ikawa haijamridhisha mke wangu kabisa mpaka sasa navoongea mke wangu kanikasirikia, kamkasirikia mama yangu, kakasirikia my whole familly kwa madai kwamba hapendwi kwenye familia yangu so nahitaji mawazo yenu sana kwa wale wahenga na uzoefu wa mambo ya ndoa.

Ahsanteni!
Swala la mwanamke kupendwa na familia hutokana na mambo kadhaa ambayo wewe mwanaume hukuyafanyia kazi toka mwanzoni mkiwa wachumba au mlipoanza maisha, kwanza unapotaka kuoa na umempata mchumba lazima uwapange ndugu zako na uwarubuni maana tayari umejiamlia hawajakuonyesha, wapo watakao mpenda na watakao mchukia jaribu kutaka kujua sababu za wao kumchukia au kutompenda. Sasa upande wa kwua umeshamuoa ndugu hawampendi sikiliza fahamu kwa undani kwanini, maana comment alizopata za picha za motto zinaonyesha tu kuwa hata kabla hajajifungua kulikuwepo na tatizo litambue hilo na lifanyie kazi. Ndio maana kwetu ukioa mke lazima aende akae na mama mkwe siku si chini ya 20 ili mama mkwe amueleze maisha yenu yalivyo na amuelekeze wanavyopikaga chakula na maisha yao yamefikia hapo walipo kwa sababu 1,2,3 ikiwemo na misaada ambayo mtoto wao aliyokuwa anawapa kama support.

Wengine huwachukia wakwe kutokana ka makosa wanayo yafanya mfano kuwa na tabia mbaya ya uchoyo kupenda kuficha chakula, kuwa na tabia ya kutopenda kuwa karibu na ndugu zako, kuwa na tabia ya kutoonyesha ushirikiano kwa ndugu zako endapo kuna jambo flan wanataka kushirikiana na familia, jingine ni wewe unapoenda kwenu au kwa ndugu zako huna mazoea ya kwenda na mkeo ili wamzuoee na wamuelewe wamfahamu yeye ni mtu wa aina gani….(nimechoka naishia hapa)
 
Mke si ndugu komaa ukizubaa anakufanya zoba. Ndugu yangu alikua hivyo akakata network Na ndugu wote sasa anaishi kama mfungwa nyumbani kwake analo sema mkewe ndio analofanya.mke asikugombanishe na ndugu. Akiweza hapo umekwisha tumia akili nyingi
 
Kama tangia 2012 haupo nchini na Mungu amekabariki familia ni vizuri kwenda nyumbani kidogo...... wanamuone na mtoto kwa kuwa huyo ni wa kwanza hao wengine utakao zaa hata ukiamua kubadilisha na uraia no one will bother !!!!! Nenda nyumban upatemo hata na baraka kidogo.
 
muulize yeye anawapenda?kanuni ya upendo iko hivi anza kupenda kwanza wewe theni wengine wafuate ni si kazi yako kujua wengine wanakupenda,jikague wewe kwanza
 
Back
Top Bottom