Ushauri: Mke wangu kaniambia mtoto wa kwanza sio wangu na baba yake anamuhitaji

Aisee pole sana mkuu ...daah wanawake kuna mda mwingine hatujui hata nini tunataka yaan kaolewa n bado hajarizika had kuzaa nje mmmh... Kuwa na subira katika kufanya maamuzi usje jikuta unagawana nae majengo ya serikali,mmja mochwari mwingine jela... Mungu akutangulie kwenye maamuzi utakayochukua yawe yenye busara zaidi...pole aisee

Asante kwa ushauri....bado sijaamua kufanya lolote nasubili nikae sawa kisaikolojia
 
Mmmh...I feel your pains bro,inauma sana..
Ila wanawake MNA mioyo ya kipekee mbali na mapungufu yenu.

Bro kuwa mpole fanya busara usimchukie mtoto hana kosa,madamu umeshajua mwenye Mali basi acha aende and don't hold grudges against her,everything happen for a reason and we learn something from everyone who passes through our lives some lessons are painful and some are painless but all are priceless...

Jipange upya,bado una nafasi ila usiludie makosa kumbuka tu it's heart and personality that make someone to stay with you,not beautifu nor education
 
Kaka kwakweli sina uzoefu na matukio kama hayo lakin ukweli ni kuwa inauma sana, all that trusting na gharamana + muda uliotumia kwake lakin bado kakufanyia hivyo. Hastahili chembe ya msamaha wako
 
Ebu tulia kwanza ...usikulupuke hapo unabid ucheze kama Pele ... maana yake usije ukakuta.... uyo mtoto ni wakwako ila yeye mke wako ndo ajafahamu ...sasa unabid umchunguze vizur mtoto ...kama ni wako au la unaweza ...kuangalia vidole ...au kichwa au pua au miguu au maskio au macho ...yaani kama ni mtoto wako unaweza kumgundua Vizuri...then kitu kingine... usijiue maana nyie walimu mlivyokuwaga wajinga unaweza ukabwiga sumu hivi hivi....tulia tu ...hii dunia sote tunapita ...maana wewe sio wakwanza kufikwa natatizo kama hilo ...wapo wengi ...waliokulipata na wengine wakafa wakaenda....so tuliza akil .. hiyo mindset... yako unabid uichezeshe vizur .
Teh....teh.....asante sana ndugu kwa ushauri nimefurahi umenichekesha kidogo asante.....
 
Aiseee
Mwache aendee.
Utakufa kwa pressure wakati sio wako.
Muda bado unao wa kulitafuta penzi LA dhati...
Swala LA msingi hama kituo mapema iwezekanavyo...
Mwachie kila kitu usije ukapata chochote cha kukufanya umkumbuke...

Kaa ukielewa kua yupo mwaminifu alie wekwa na mungu kwa ajili yako na siku zote
Kisicho ridhiki hakiliki
Kila LA kheriii
Asante sana kwa ushauri .....
 
Yaani mambo ya mahusiano yana changamoto hadi mtu unashindwa ufanye nin daah,,pole sana mkuu jaribu kutulia ufanye maamuzi sahihi ila huyo Dada muache for good maana utakuja muua
 
Sheria yangu siku zote kuwa mpenzi anayekudanganya mwezi mzima apo akuna mapenzi.... Kwa Mwanamke anayekupenda kwa dhati kabisa akunaga siri anakuwa Na ofu ya kukupoteza siku ukijua....Usilazimishe mwambie tu kutokana Na sababu pendwa uaminifu aupo so kila Mmoja ajue njia Yake kwa amani kabisa bila kuadisia watu Na yoyote Mwenye kuuliza unamwambia tumetengana for good
Asante ndugu kwa ushauri
 
Pole sana mkuu, duu inaumiza sana jambo la muhimu la kufanya ni kupima DNA majibu yakitoka kama Mtoto si wako unaweza kuchukua maamuzi lakini muombe sana Mungu akupe hekima usijechukua maamuzi mabaya.
 
Mmmh...I feel your pains bro,inauma sana..
Ila wanawake MNA mioyo ya kipekee mbali na mapungufu yenu.

Bro kuwa mpole fanya busara usimchukie mtoto hana kosa,madamu umeshajua mwenye Mali basi acha aende and don't hold grudges against her,everything happen for a reason and we learn something from everyone who passes through our lives some lessons are painful and some are painless but all are priceless...

Jipange upya,bado una nafasi ila usiludie makosa kumbuka tu it's heart and personality that make someone to stay with you,not beautifu nor education
Thank you so much for your advice brother....
 
Kaka kwakweli sina uzoefu na matukio kama hayo lakin ukweli ni kuwa inauma sana, all that trusting na gharamana + muda uliotumia kwake lakin bado kakufanyia hivyo. Hastahili chembe ya msamaha wako
Asante ndugu najua ntapata pa kuanzia sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom