MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,454
Kwa taarifa yako umeoa mke wa mtu mke hawi hivyo.Lakini nakulaumu mwanaume hawi hivyo ulivyo toa maamzi magumu na mitihani mizito kwake hadi anyooke.Wanawake kibao hv warembo unakaa kuteswa na pimbi mmoja.Mpenzi ninampenda nimuonapo tu ananisisimua sana kabla sijamuoa alikua ananiambia nimuoe kwanza ili anipe mambo nitakayo.
Sasa nimemuoa ndio imekua shida kupata mambo hataukiwa na hamu hakupi labda utumie nguvu. Haijawai kutokea kunipa kirahisi mpaka nimezira.
Naomba ushauri wenu tatizo nini au ana mtu anaye mchosha?
hahaaaa...ulilazimisha ndoa! in short ww ndo ulimpenda bali yy alikuwa naye ampendaye, pole sana!Ni hivi kabla sijamuoa nilimpata kwa shida sana na nilivyompata nakulizika nae akahanza visa sikupi mambo utanizehesha wskati huo alikua na mchumba wake akaniambia namwacha mchumba wangu kama utanihakikishia unafunha ndoa na mimi mana mchumba wake alikua anamzungusha kumuoa mimi nikakubali nikafunga nae ndoa kislam nacho lalamika apendi kabisa kufanya na mimi yaani kwa mbinde mpaka anapoteza radha ya tendo lenyewe sielewi kwa nini amekua hivi rimance hataki pia
kwa maelezo haya unaonekana wazi ulivyo dhaifuNi hivi kabla sijamuoa nilimpata kwa shida sana na nilivyompata nakulizika nae akahanza visa sikupi mambo utanizehesha wskati huo alikua na mchumba wake akaniambia namwacha mchumba wangu kama utanihakikishia unafunha ndoa na mimi mana mchumba wake alikua anamzungusha kumuoa mimi nikakubali nikafunga nae ndoa kislam nacho lalamika apendi kabisa kufanya na mimi yaani kwa mbinde mpaka anapoteza radha ya tendo lenyewe sielewi kwa nini amekua hivi rimance hataki pia
hahahahahaha! Yaaani jamaa nimecheka mpaka mbavu zinauma kweli. Duuuuu!una bahati saana wenzio mpaka tunarud nyumbani tuna singizia tumelewa kumbe tunakwepa kugegeda, maana mwanamke anataka gemu mda ote,
[emoji3] [emoji3] [emoji3]We kweli mwanaume mkeo anashindwaje kukupa penzi basi mtafutie mchepuko wa kukupa penzi kama ameshindwa kuwajibika
Kwani ujaisoma mpka mwishoKumbe mpenzi ...sasa mzee kama mpenzi Fanya ...umuoe basi sio ...wabandua buree kijana embu mpe heshima yake mfanye awe mke wako......alafu uone kama atakubania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa maelezo haya unaonekana wazi ulivyo dhaifu
Namwamhia ukweli mwananguuhahahahahaha! Yaaani jamaa nimecheka mpaka mbavu zinauma kweli. Duuuuu!
Unamtakia matatizo mwezio, hujui kama kubaka adhabu yake ni miaka 30 jela?Kama unampenda, anza kuwa unam-baka tu ili utimize haja zako za mwili.
Lakini kama haumpendi, piga chini na tafuta mwingine asie bania papuchi.
Alafu...... Mwanaume huwa haziri, labda kama nawe niwa Dar