amenyamana mkulangoe
Member
- Mar 26, 2018
- 11
- 4
Wewe dini gani?https://www.jamiiforums.com/index.php?forums/Love Connect.104/
Mpenzi nnampenda nimuonapo tu ananisisimua sana kabla sijamuoa alikua ananiambia ni muoe kwanza ili anipe mambo nitakavyo sasa nimemuoa ndio imekua shida kupata mambo hataukiwa na hamu hakupi labda utumie nguvu haijawai tokea kunipa kiraisi mpaka nimezila naomba ushauli wenu tatizo nini au an mtu.anae mchosha
Hapana baada ya shida hz nilimuoa lakini hali bado kama ilivyo mwanzo na alihaidi nikimwoa mambo yatakua powaKumbe mpenzi ...sasa mzee kama mpenzi Fanya ...umuoe basi sio ...wabandua buree kijana embu mpe heshima yake mfanye awe mke wako......alafu uone kama atakubania
Ok!! Jaribu... Kufuata taratibu ukiona hamuendani ..piga chini kila mmoja ashike ustaarabu wakeeeHapana baada ya shida hz nilimuoa lakini hali bado kama ilivyo mwanzo na alihaidi nikimwoa mambo yatakua powa
https://www.jamiiforums.com/index.php?forums/Love Connect.104/
Mpenzi nnampenda nimuonapo tu ananisisimua sana kabla sijamuoa alikua ananiambia ni muoe kwanza ili anipe mambo nitakavyo sasa nimemuoa ndio imekua shida kupata mambo hataukiwa na hamu hakupi labda utumie nguvu haijawai tokea kunipa kiraisi mpaka nimezila naomba ushauli wenu tatizo nini au an mtu.anae mchosha
Ana jini Mahaba anatakiwa deliverancehttps://www.jamiiforums.com/index.php?forums/Love Connect.104/