Ushauri: Mke wangu anasagana

Ushauri: Mke wangu anasagana

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,606
Reaction score
8,264
Jamaa mmoja kaniita kwenye pub mmoja hivi na kaniambia kuwa ana shida na mie,nikamsikiliza,kaniambia kuwa mke wameanza kusagana na dada mmoja ambae nae ni mke wa mtu,nikamuuliza umejuaje,kaniambia kawakuta live
sasa anaomba ushauri afanyeje,nilishindwa cha kumshauri sasa nalileta kwenu,je afanyeje
 
Azungumze naye, amweleze tatizo liko wapi mpaka anafanya hivyo lakini pia wote kwa pamoja (mke na mume) wamwombe Mungu awaondolee hilo pepo
 
Jamaa mmoja kaniita kwenye pub mmoja hivi na kaniambia kuwa ana shida na mie,nikamsikiliza,kaniambia kuwa mke wakevameanza kusagana na dada mmoja ambae nae ni mkecwa mtu,nukamuuliza umejuaje,kaniambia kawakuta live
sasa anaomba ushauri afanyeje,nilishindwa cha kumshauri sasa nalileta kwenu,je afanyeje
Umeshindwa kutimiza wajibu muhimu wa kihisia
 
Anatakiwa aache uzembe amtafune mke wake vizuri kabisa kama alimuoa kama pambo basi amuache aendelee kusagana
 
ni bora kuliko kwenda kuliwa nje na kutoa kifurushi cha jaza ujazwe
umesema kweli,sasa huyu jamaa ninclass mate wangu tokea primary miaka zaidi ya 40,iliyopita na yeye ninmtubwa kusali sana ,ndio masna nachagua sana maneno ya kumwambia
 
umesema kweli,sasa huyu jamaa ninclass mate wangu tokea primary miaka zaidi ya 40,iliyopita na yeye ninmtubwa kusali sana ,ndio masna nachagua sana maneno ya kumwambia


Mwambie avumilie tena umweleze mambo hayo ni mambo ya hisia na emotion zaidi si ya kumwambia mtu kwa mdomo akaacha,ila mweleze kuna mambo mabaya zaidi ambayo anaweza mke akayafanya kama kutoa rojo,au mke akatembea na mtaa mzima au hata baba au kaka wa mume au akichanganyikiwa zaidi anaweza kutembea na baba yake mzazi
 
Back
Top Bottom