Chapakila
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 290
- 1,423
Alipofuma angekaza wote wawili. Kuondoka kau kau na ushaona tukio ndo ka umewapa go ahead na awatoacha.Jamaa mmoja kaniita kwenye pub mmoja hivi na kaniambia kuwa ana shida na mie,nikamsikiliza,kaniambia kuwa mke wameanza kusagana na dada mmoja ambae nae ni mke wa mtu,nikamuuliza umejuaje,kaniambia kawakuta live
sasa anaomba ushauri afanyeje,nilishindwa cha kumshauri sasa nalileta kwenu,je afanyeje
