Ushauri: Mke wangu anapenda niwe nae muda wote

Ushauri: Mke wangu anapenda niwe nae muda wote

Kuna mambo mengn haiwezekani ukashauriwa wewe,
Ni vyema aulizwe muhusika mwenyewe,

Ushauri: toa namba yake....
 
Jamani mwezenu nina mke wangu lakini yeye anapenda niwe nae masaa yote,pia yeye anapenda tufanye mapenzi kila SAA.

Nifanyeje ili kumridhisha hayo yote?

Msaada wenu tafadhali.
huyo itabidi umsikilizishe ule wimbo wa Yamoto Band....Yamoto
 
Omba likizo ya wiki moja ukae nae naumwambie hakuna mshiko wowote mfikie kunywa maji kama hayaomba po. .....fanya kazi kijana
 
Atakuwa mama wa nyumban huyo. Mtafutie kazi brother daily akirudi kachoka uje kuomba tena ushauri humu wife hakupi haki ya ndoa
 
Nipe namba yake nimuulize kama kweli au unamsingizia
 
Back
Top Bottom