saidjamali
Member
- Dec 3, 2016
- 66
- 22
- Thread starter
-
- #61
Simtegemei chochote kile yaani mm ndo kila kitu kwake japo kwao wanapesa frsh tuje unamtegemea chochote hasa kwenye mapato ya familia??
hapo unapokaa ni kwake au kwako??
amekuzidi kipato??
maana mwanamke wa kiafrica akikuzidi kipato ni shidaaaa...
Kama ni issue ya mtoto unaweza ukampeleka kwa mama yako mzazi, na akikua kama mfuko unaruhusu mpeleke boarding school abaki kuja kusalimia likizo tuu. Tafuta furaha ya moyo wako ndugu maisha yenyewe yakowapi kuanza kupeana stress dailyNafikiri hivyo ila mtoto ndo anafanya niwaze sana
HahahaahhahahaahahahahahaKama jina lako kweli ni Saidi basi una options mbili
1.mpe talaka
2.mtafutie mke mwenza
Dini inaruhusu
Unajua mm pia hali hiyo imenitokea, nikampiga mkwala mzito sana. Nikamwambia ntakurudisha kwenu asubuh tu,Kwanza poleni na majukumu,
Wadau, karibu miaka 3 sasa naishi na mke wangu toka nimuoe mpaka tumebahatika kupata mtoto moja na mpaka sasa ni mjamzito. Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri sana kuanzia hapo mambo yakabadilika.
Kwa mke wangu amekuwa ni mtu ambae anaweza ongea chochote anachojisikia bila kujali mimi ni nani kwake, amekuwa akishirikisha sana familia yangu kwa kutukana wazazi wangu ndugu zangu, yaani kifupi hana heshima hata kidogo kwa mtu yeyote yule. Natamani nimwache hata leo ila nahofia watoto.
Basi napagawa maana nimekuwa mtu wa kuwaza muda wote kufikia hatua hata ya kufikiria kufa maana anaboa kinoma.
Daah nimekusoma mkuuKama ni issue ya mtoto unaweza ukampeleka kwa mama yako mzazi, na akikua kama mfuko unaruhusu mpeleke boarding school abaki kuja kusalimia likizo tuu. Tafuta furaha ya moyo wako ndugu maisha yenyewe yakowapi kuanza kupeana stress daily
Asante mkuuWala usifikirie kufa mkuu
Simama kiume
Hayajakufika ndo maanaWanaume wengine mnatutia aibu haswa, yaani ishu hii hata Spongebob angelitoa uamuzi mwenyewe.
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kaka hiyo hali si baada ya mimba yaani sasa hivyo miaka 2 naishi hali hiyo na mimba ina miezi 7 saivUnajua mm pia hali hiyo imenitokea, nikampiga mkwala mzito sana. Nikamwambia ntakurudisha kwenu asubuh tu,
sasa nikajaribu kureserch ni nini shida, nikagundua asilimia 100 ni mimba. so mkuu kuwa kama mimi ielewe hiyo hali yake, mpende na zidi kumuheshimu. akijifungua atakaa sawa
Hahaha mkuu umenifanya nicheke wacha akae benchi kama miezi 3 kweliMkuu ujauzito umechangia ungezeko lakini mkeo anatabia mbovu ,,maana unadai Ni miaka 2 tokea anze kuwa jipu,,sasa huyu mmpe likizo ya miezi3 !! Hawezi kucheat maana Ni mjanzito,,sasa stress za mimba Na kuachwa atanyooka Kama rula ,,akishusha mrudishe muyajenge,,alaf acha ujinga wa kuwaza kufa japo huyo mwanamke kiboko mpaka unataman kufa ,,teh teh
Dawa ya mwanamke ni mwanamke,nakuomba muongezee mke mwingine ajue sio muhimu sana!Kwanza poleni na majukumu,
Wadau, karibu miaka 3 sasa naishi na mke wangu toka nimuoe mpaka tumebahatika kupata mtoto moja na mpaka sasa ni mjamzito. Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri sana kuanzia hapo mambo yakabadilika.
Kwa mke wangu amekuwa ni mtu ambae anaweza ongea chochote anachojisikia bila kujali mimi ni nani kwake, amekuwa akishirikisha sana familia yangu kwa kutukana wazazi wangu ndugu zangu, yaani kifupi hana heshima hata kidogo kwa mtu yeyote yule. Natamani nimwache hata leo ila nahofia watoto.
Basi napagawa maana nimekuwa mtu wa kuwaza muda wote kufikia hatua hata ya kufikiria kufa maana anaboa kinoma.
UKIONA SAMAKI KALA CHAMBO, BASI UJUE MVUVI KASHAANZA UFALAKwanza poleni na majukumu,
Wadau, karibu miaka 3 sasa naishi na mke wangu toka nimuoe mpaka tumebahatika kupata mtoto moja na mpaka sasa ni mjamzito. Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri sana kuanzia hapo mambo yakabadilika.
Kwa mke wangu amekuwa ni mtu ambae anaweza ongea chochote anachojisikia bila kujali mimi ni nani kwake, amekuwa akishirikisha sana familia yangu kwa kutukana wazazi wangu ndugu zangu, yaani kifupi hana heshima hata kidogo kwa mtu yeyote yule. Natamani nimwache hata leo ila nahofia watoto.
Basi napagawa maana nimekuwa mtu wa kuwaza muda wote kufikia hatua hata ya kufikiria kufa maana anaboa kinoma.
Mkuu usinifahamu vibaya lakini mwanamke/mke akifika kukutukana, ujuwe huyu kachoka na wewe. Kuna matatu:-Hayajakufika ndo maana