Ushauri: Mchumba wangu ni mlevi na sio mtafutaji

Ushauri: Mchumba wangu ni mlevi na sio mtafutaji

Ndoa haijaribiwi, km umemwambia aache ulevi na hasikii bora umwache aende, kuchagua mke/mume kuna vitu vingi vya kuangalia ikiwa ni pamoja na malezi ya watoto hapo baadae, mwanaume mlevi atakuja kuwa mzigo kwako.
 
Kitake radhi kiraji kwanza (pombe) Pombe haijawah kuwa sababu Ya irresponsibility Ya aina Yoyote hapa duniani ni tabia tu Ya mchumba wako binafsi
 
Mimi mdada wa miaka 27, Mchumba wangu mlevi ila hataki kukubali kuwa yeye ni mlevi, hana bidii ya kutafuta hata nimapo mwambia kuwa nitamsuporti, anatafuta sababu nyingi mbona hajatimiza jambo au kwanini haliwezekani, nimemvumilia na nimempenda hata kuona anamapungufu kama haya, ila naogopa atakuwa mzigo kwangu baadae.

Nishaurini nifanyeje.
Ninachokiona ni kama tayari una maamuzi ila unahitaji tukupe go ahead, sometimes fanya maamuzi sahihi unayoona yatakuwa sahihi katika maisha yako yote. Wewe ndio unayemfahamu huyo mchumba wako kwa undani zaidi weakness and strength zake, hapa umetuonyesha sehemu ya weakness tu, hatujui strength zake. if what if tukikuambia uachane naye wakati wewe unampenda je utaachana naye? au tukakwambia usimwache wakati ni potential kwako je utamwacha?

Mara ngapi umeshakuwa muwazi na kumweleza juu ya tabia yake hiyo? umeshafanya jitihada gani za kuwa potential kwake? do you think wewe hauna weakness zozote? What if ukasikia anaomba ushauri juu ya kuachana na wewe kutokana na weakness zako? how will you fill.

Kaa chini na boyfriend wako, zungumza naye, mweleze wazi kuhusu mapungufu hayo, take time kumwombea pia, hakuna aliye mkamilifu utaenda kwa mwingine utakuta bora ulipotoka
 
Kanizidi sio sana
Sasa unasemaje sio mtafutaji wakati kipato kakuzidi?
sema labda umemchoka na huna sababu ya kumwacha.

tuambie uyo jamaa analewa pombe za aina gani?

Maeneo anayopendelea kunywea ni yapi?

Vp mahitaji yako anayatimiza?
 
Uamuzi upo mikononi mwako. Huna haja ya kuuomba.
 
Wewe ndio inabidi uachwe...huna siri sort mambo yako na mumeo au umwache ni uhamuzi wako,tukushauri nini sasa kilaza wewe.umeidharau sana POMBE, yeye akikusema tabia zako mbaya cuz hamna aliekamilika utajisikiaje? hata sisi unaotuomba ushauri tuna matatizo yetu tumekaa kimya,tena makubwa kuliko yako lakini tunajitahidi kuwabadilisha wenza wetu bila kuwatangaza tukishindwa kimya kimya tunaachana nao na sio matangazo
 
Sasa unasemaje sio mtafutaji wakati kipato kakuzidi?
sema labda umemchoka na huna sababu ya kumwacha.

tuambie uyo jamaa analewa pombe za aina gani?

Maeneo anayopendelea kunywea ni yapi?

Vp mahitaji yako anayatimiza?
huyo amempata mtu mwingine anataka kumpiga chini yule wa awali lakn nafsi inamshuta hivyo anatafuta sababu
 
Isije kuta wewe ndo unayemfanya anywe pombe kwa mambo unayomfanyia jitathimini wewe kwanza
 
maneno yakoo, matamu wala hayaishi hamu,, ila tabia yakoo naifahamu mleviiii.. Ndio hivyo moyo umeshapenda komaa nae tu...
 
Back
Top Bottom