Ushauri: mchumba wangu hata sielewi....

Ushauri: mchumba wangu hata sielewi....

Mkuu wewe baada ya kushukuru kwa Mungu kukuonyesha rangi halisi ya huyo dada wewe ndio unakuwa na huzuni? Furahi na mshukuru Mungu sana kwa kukuwekea wazi huyo kabla ya kufunga ndoa
Dah!!!! Kwel Aiseee kama ningewahi kwenda ningekuwa baba mlezi
 
We miaka mitatu unachumbia tu, bora wamekusaidia wenzako natongoza leo kesho naoa
 
Pole sana. Kama hujui la kufanya basi lea mimba kisha muendelee na uchumba wenu kujiandaa kufunga pingu za maisha.

Nnamchumba huu mwaka wa 3, pasaka ya mwaka huu alienda Dom kwa dadake kabla hajarudi home Mwanza mi channel's zangu zkasoma dar.. Bas nikamtaarfu nikasepa zangu.juz tu ndo nmeingia kitaa. Jana nikatimba home kwao kumchek tu....... Kasha JAZWA kitumboo ndiii.
Niligeuka bila hata salamu kaja mpaka home wnadai eti tuongee seriously sijui lakufanya. SKU kuu kwangu naiona chungu mpaka mida hii nmejilaza tuu.
 
Mimi kisa changu ni rahisi...kipo hivi.
Kabla ya kukutana na Trina nilikuwa na tabia mbaya ya kuwatenda wanawake na nilikuwa sijari ata wakilia na sometimes ata kutishia kujiua nlikuwa siwasikilizi wala kuwaonea huruma.
Nilianza mapenz na Trina mwaka jana mwez wa 3 na nilijikuta ghafla nimeanza kubadili tabia na kuwa good boy nikawa najari sana namsikiliza huyu mtoto mzuri nikaacha na pombe na nikawa najisikia kama binadam wengine wanavojisikia wakiwa kwenye mapenzi.Kumbe bila Kujua Trina alikuwa na mpenz wake na kipindi chote me nakula nae bata mpenzi wake alikuwa nje ya nchi kimasomo,kama ilivyo kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho jamaa akamaliza masomo na akarudi bongo muda wote huo me sijui chochote.Basi mwenye mali akaanza kuusaka mzigo wake na nikaanza kuyaona mabadiliko kwa mupenzi,sijisifu lakini najuaga sana kumtega mtu mpaka najua ukweli basi nikaanza taratibu namuuliza friendly why ameanza kuchange na sometimes anakuwa kama ana stress akanambia hamna kitu nikaamua kuacha kabisa kumuuliza na kutumia akili zangu na source nyingine kujua what is going on mpaka nikaja kuupata ukweli na kumchana ikabidi aniambie ukweli wote na kuwa hataki kuendelea na mshkaj japo jamaa anamng'ang'ania na kashajua kwamba yupo na mtu na anamtafuta.Huo mgogoro umechukua muda mrefu sana mpaka mwez uliopita(11) jamaa alikuja sehem flani hivi tunapenda kula lunch akaulizia mtu kwa jina langu yupo wapi tukamjibu leo hajaja basi akazuga kuwa wana urafiki then akasepa muda huo wote tangu mwez wa 10 Trina aliondoka na kurud kwao.Mawasiliano yaliendelea kibishi kwa sabab me sio mtu wa kuchat sana so huwa namcall tunaongea na nilianza kuyaona mabadiliko kwake kwa mara nyingine nikasema ngoja nione mwisho wake muda wote huo nimekaza sijawai kuwa na mtu mwingine toka niwe nae zaidi yake.
Mabadiliko yake yalifikia pabaya kuna siku nilimpigia simu mara mbili nzima hakupokea na nkasubir anicall back lkn kimya mpaka leo hajanitafuta na mimi nasubir anitafute coz nshachoka na hii situation.....
Kitu kibaya zaid leo nimeingia whatsapp kucheck status za watu wangu kuingia kwa status ya rafiki yake namuona Trina wangu na jamaa afu na caption nene kwa chini imeandikwa hivi "yeah...watu na waubani zao" kwanza nikacheka sana afu nimeamua kupigia mstari sijataka kuuliza mtu sijaamua kuchukua uamzi wowote wa kijinga hapa kuna pombe za kutosha lakini mimi nimekuwa rejeta nakunywa maji mwanzo mwisho!!!!

Kwa hiyo mkuu usiwaze sana jua hapo hakuna fungu lako move on and let it go.

Naona kama dalili za kurudia tabia yangu coz hapa nilipo nimezungukwa na watoto wazuri tunabadilishana mawazo huku part inaendelea naamini baada ya ugwadu wa muda mrefu leo lazima mtu akaliwe.

SAMAHANI WAKUU KWA COMMENT NDEFU LAKINI NA MIMI NIMEJIKUTA NATOA YA MOYONI BAADA YA KUONA I'M NOT ALONE.
 
Hahaha sawa bwana rejeta, hahaha
 
Nimeipenda Sound good. ila we bado kuna double chance huenda ukampata tena. Wngu ana MIMBA.. Mtto awekuwa labda hata mchina. Maskin hata cjui
 
Mkuu mimi sifikiriagi kurudi nyuma na najua nikimtaka tena hawez kuruka lakini usipende kurudiana na mwanamke ambae amekusaliti hakuna mtu m'baya kwenye maisha kama mtu mwenye chembechembe za usaliti hiyo tabia haina dawa,sasa hebu fikiria kwa akili tu za kawaida picha linaanza alimsaliti jamaa yake kwa ajili yangu hatujapoa na msala wa jamaa hadi leo ananitafuta kanisaliti mimi na mtu mwingine sasa narudi kwa mtu kama huyo kufanya nini?

Hakuna maana ya kurudiana hata wewe mkuu nakushauri usirudiane na huyo mwanamke sometimes tukubaliane na matokeo kuwa sio kila tunachokipenda lazima tukipate!!!!!
 
Hapo ss nimekuelewa, mbele daima nyuma mwiko. Kwel ntaonekana boya bora nirud zangu dar. Ntampata hko hko. Thx bro.
 
Back
Top Bottom