Ushauri: Mchumba wangu ana maumbile makubwa

Ushauri: Mchumba wangu ana maumbile makubwa

mamiake

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
270
Reaction score
332
Nimepata mchumba japo simpendi sana anataka kunioa tatizo lake ana maumbile mkubwa kila tukifanya tendo naumia sana.

Nimejaribu kwa jamaa mwingine naona siumii naenjoy sana, huyu anaenifurahisha kitandani sijui kama ni muoaji au lah.

Iila huyu mwenye uume mkubwa hata nyumbani ameshaenda na wanampenda sana wazazi nimechanganyikiwa sijui nifanyeje japo ana hela na maisha mazuri ila tukisex naumwa sana.

Naombeni ushauri maana kuolewa nataka
 
muache kaka wa watu usije kumpa stress bure .hujitambui.mara humpendi ,mara uume mkubwa .mara jamaa mwingine anakufurahisha. ? hueleweki una shida gani .endelea kukojozwa huko.mwanaume kama humpendi utaona anakuumiza tu maana huna nyege nae
 
nimepata mchumba japo simpendi sana anataka kunioa.tatizo lake ana uume mkubwa kila tukifanya tendo naumia sana. nimejaribu kwa jamaa mwingine naona siumii naenjoy sana. huyu anaenifurahisha kitandani sijui kama ni muoaji au lah ila huyu mwenye uume mkubwa hata nyumbani ameshaenda na wanampenda sana wazazi.nimechanganyikiwa sijui nifanyeje japo ana hela na maisha mazuri ila tukisex naumwa sana naombeni ushauri maana kuolewa nataka
 

Attachments

  • IMG_20170807_201923.jpg
    IMG_20170807_201923.jpg
    36.9 KB · Views: 122
Angalia ni wap hisia zako zinapokutuma, ni wp ukienda nafc yako inawwza kuwa na aman.
Dada hakikisha unafanya uamuz ulio sahihi vnginevyo utaona maisha ya ndoa machungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mukaonane na daktari wa mambo ya uzazi atawapatia mbinu na ushauri, kwani kuna wengine ye akijiona analo kubwa anataka kuliingiza lote lakini daktari atamshauri kulingana na kina cha papuchi yako

Jamii Forums mobile app
 
Muda umepita member fulani hapa JF naye alianzisha uzi akiwa katika hali kama yako.

Kwamba mtu wake anamaumbile makubwa kwahiyo anaumia wakiwa faragha.

Well, mwisho aliamua kuachana naye. Akapata mwenye maumbile madogo.

Nirudi kwako.

Vipi umejaribu "sex positions" tofauti?

Hapo kuna uhusiano na position mnayotumia mkikutana.

Jaribu kuwa huru zaidi mkikutana.

Wakati mwingine unatakiwa ufanye maamuzi kwa kuangalia baadae itakuwaje.

Huyo jamaa anataka kukuoa. Anataka uwe mkewe na mama wa watoto wenu.

Naona huyo ana heri zaidi.

Kwa huyo jamaa anayekufurahisha, kumbuka hili

Just because sex is amazing it doesn't mean he loves you.

Does he support you?

My friend be wise when choosing of your husband.

Ball is in your court
 
Back
Top Bottom