Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,165
- 8,959
Mkuu kama ni wewe chukua tahadhali, wanawake wa kule kwa kifupi huwa hawapendi mwanaume lege lege, mwenye mapenzi ya pwani sijui kila mara honey..honey,Wakuu kuna jamaa yangu kapata mchumba (mke mtarajiwa) wa kikurya.
Jamaa anataka avute mazima aweke ndani ila ana wasiwasi huyo demu atamgeuka huko mbeleni maana demu hajakaa kizembezembe ni kama mbabembabe fulani kiaina.
Jamaa anaomba ushauri kwa anaewajua hao wakurya na tabia zao maana asijekuwa amejiletea mandonga wa kumchezeshea vitasa kila uchwao.
sawaBraza Kede Kwanini Unajificha Kwenye Kivuli Cha Jamaa Wakati Ni Wewe.
Mkuu kama ni wewe chukua tahadhali, wanawake wa kule kwa kifupi huwa hawapendi mwanaume lege lege, mwenye mapenzi ya pwani sijui kila mara honey..honey,
Kule wanatama mapenzi kidogo, amri na sauti ya kiume kwa sana na akitikisa kiberiti akute kimejaa, hapo mtaendana tofaut na hapo usionje sumu kwa kuonja
duuhOa mwenetu mke atakulinda panya road wakirudi
Acha mapenzi ya tamthilia, mwaga komand, chapa kazi, ongeza hela katika familia atakuheshimu.looh
sa itakuwaje kiongozi?
maana mahali nusu imeshaenda?
duh..sa itakuwaje maana umri unaendaIf it costs you your peace, then it is too expensive.
Ni bora umri uende kuliko ujichanganye kuoa.duh..sa itakuwaje maana umri unaenda
Hivi kutoa ushauri bila kusema hivi hamuwezi eti?Braza Kede Kwanini Unajificha Kwenye Kivuli Cha Jamaa Wakati Ni Wewe.
sure kiongoziHivi kutoa ushauri bila kusema hivi hamuwezi eti?
Mwambie akaze asikae kimayai mayaiWakuu kuna jamaa yangu kapata mchumba (mke mtarajiwa) wa kikurya.
Jamaa anataka avute mazima aweke ndani ila ana wasiwasi huyo demu atamgeuka huko mbeleni maana demu hajakaa kizembezembe ni kama mbabembabe fulani kiaina.
Jamaa anaomba ushauri kwa anaewajua hao wakurya na tabia zao maana asijekuwa amejiletea mandonga wa kumchezeshea vitasa kila uchwao.
Sasa ulivyomuoga hata kuandika kwenye fake IDs kuwa ni wewe unaogopa! Unafikiri akipita humu atakujua. Sasa uoga wote huu unataka demu wa kikurya utamuweza kweli? Kaoe mdigo wa tanga ule raha kuwekewa iliki kwenye maji na kuogeshwa.Wakuu kuna jamaa yangu kapata mchumba (mke mtarajiwa) wa kikurya.