Ushauri: Matisho ya mpenzi wangu

Mtafute umwambie afute kauli yake lasivyo utamchukulia hatua
 

wewe unastahili kupata majanga makubwa tu
yani umemchezea kwa miaka yote hiyo alafu unakuja kusema huna mapenzi nae? c ni wewe ndo umesema umemzimikia sasa umezinduka au?
 
wewe unastahili kupata majanga makubwa tu
yani umemchezea kwa miaka yote hiyo alafu unakuja kusema huna mapenzi nae? c ni wewe ndo umesema umemzimikia sasa umezinduka au?


Kuchezewa kivipi?
Hii kauli sijui wanamaanisha nini? .Kwani kazi ya ile kitu toka uumabaji wake kazi yake ni nini?.
 
Mtose tu.....we tokalin mwanaume rijali ukawa na demu mmoja....hata nature inakataa ....we chukua mwingune na hakuna lolote

We nkichwa maji kweli wewe hivi unaona kubadili hawa dada zetu kama raba ndo ujirijar??
 
Kuchezewa kivipi?
Hii kauli sijui wanamaanisha nini? .Kwani kazi ya ile kitu toka uumabaji wake kazi yake ni nini?.

kumbe na wewe ndo wale wale
umesha pita na wangapi hadi sasa???
 
hapo ukute kila w-end ulikuwa unagegeda........umemchosha bint wa watu afu eti leo ndo humpend tena? hovyoooo
 
kumbe na wewe ndo wale wale
umesha pita na wangapi hadi sasa???


Mbona hujaongeza nao wamepita kwa wangapi?

Tendo la Ndoa ni hitaji la kila mmoja me vs ke na hakuna kumchezea mwingine ni mchezo kama michezo mingine-ukiamua kushiriki kwa hiari hakuna hizi lugha kuchezewa!.
Mie sijui hesabu zangu!

Je we wamekupitia au umewapitia wangapi?
 
kiapo chenyewe mlikua kwenye zina. hamna biblia wala msahafu. unachokiogopa nini?
 
Ulipomtoa usichana akageuka mvulana!!
 
Ha ha ha ha
Wewe unamini nini mkuu?
Kama unamini kwenye hivo viapo ni wazi utapatwa na misuko suko ila kama haumini hizo imani basi utaishi pouwaa tu

Lakin kiapo cha damu mhhh ngoja aje mkuu Mshana Jr

Kilifanyika katikati ya mapenzi mazito na kwa ridhaa asikudanganye mtu maneno yanaumba na balaa la kwanza litaanzia hapo shavuni
 
Hivi ni lazima uolewe na aliyekutoa bikra?? Angefanya kautafiti kadogo angegundua ni wanawake wachache sana waliobahatika kuolewa na waliowatoa bikira na angeachana na habari ya kumlaani mwenzie!
 
Lazima yakupate mazito na uache kuchezea watoto wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…