Ushauri: Matisho ya mpenzi wangu

Ushauri: Matisho ya mpenzi wangu

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
290
Reaction score
237
Nimedate na huyu dada kwa miaka 5 sasa toka 1st year nikiwa UDSM.

Mimi ndiye niliyemtoa usichana wake tukiwa mwaka wa pili chuoni huku nikimuhaidi nitakua naye milele.

Alichukua damu yake iliyokua inamtoka kwa wakati ule akanipakaa shavuni huku akinena maneno haya.

#Huyu ndiye mume wangu na endapo atanisaliti basi akumbane na majanga yakiwepo magonjwa na misukosuko ya maisha # mwisho wa kunukuu.

Kwa kipindi kile sikuona shida juu ya hicho kiapo kwani nilikua nampenda sana.

Sasa tatizo limekuja sina mapenzi naye tena nataka ku move on (nilishaambiwa na mama usimuoe mtu usiyempenda kisa umemuonea huruma).

Tatizo linalonitatiza ni kile kiapo alichoniapisha wandugu.

Swali langu je ni kweli?

Au matisho tu?
 
Ha ha ha ha
Wewe unamini nini mkuu?
Kama unamini kwenye hivo viapo ni wazi utapatwa na misuko suko ila kama haumini hizo imani basi utaishi pouwaa tu

Lakin kiapo cha damu mhhh ngoja aje mkuu Mshana Jr
 
Hivi kwa nini aliongea maneno mepesi hivyo?
 
Mbunge wako ni nani.......?.......
 
umesema umekuwa ukizawadiwa tigo za bure na wafanyakazi wenzio au nimeelewa vibaya.
 
Ha ha ha ha
Wewe unamini nini mkuu?
Kama unamini kwenye hivo viapo ni wazi utapatwa na misuko suko ila kama haumini hizo imani basi utaishi pouwaa tu

Lakin kiapo cha damu mhhh ngoja aje mkuu Mshana Jr
Mm binafsi ni muoga oga. ..hivyo kama naamini flani ivi
 
Umepakwa damu unaangalia leo unakuja kuomba ushauri pole ndio ishakuwa laana kwako karibu uone
 
Back
Top Bottom