Mkuu samahani nimeona bandiko lako ukiwa umeandika kuwa unataka kuagiza mashine ya kuchimbia kisima, sasa nilikuwa nataka nifahamu kama tayari ushaagiza maana mimi mwenyewe pia najishughulisha na shughuli hizo sasa nilikuwa nahitaji kama unayo mashine uweze kunikabidhi niweze kuisimamia mashine yako kama hutojali mkuu
Sent using
Jamii Forums mobile app