Lizzy unasemaje kuhusu hii "We are not perfect,so,before you love someone,make sure your imperfections coincide!!!!"Kuna uwezekano kwamba anakutumia bila kuwa na malengo yoyote na wewe... Kuna uwezekano kwamba anakutumia akijua wewe ni wake na yeye ni wako. Swala la simu na kusaidiana pesa sio kama vimeanza leo. Muhimu ni ujue kama mwenzako yupo kwenye ukurasa sawa na uliopo wewe au la. Ongea nae umweleze kwamba wewe unataka kweli mahusiano yenu yafike mbali je yeye anatakaje? Kma nae atasema anataka muendelee unaweza ukapunguza hiyo misaada au ukaacha kwa muda mkabaki na mawasiliano tu kujua kama yuko na wewe kwaajili ya vijisenti tu au la. Ila swala la kutishana achana nalo....kua mwanaume na sio mtoto wa kiume.
Lizzy unasemaje kuhusu hii "We are not perfect,so,before you love someone,make sure your imperfections coincide!!!!"
....kua mwanaume na sio mtoto wa kiume.....
Dah! Huo msemo hapo juu sijazaliwa niusikie, kweli kuna mistari imetulia, nimeipenda hiyo.
....kua mwanaume na sio mtoto wa kiume.....
Dah! Huo msemo hapo juu sijazaliwa niusikie, kweli kuna mistari imetulia, nimeipenda hiyo.
Uhhhhhh.....inabidi niuweke kwenye list ya ''misemo ya Lizzy mwenyewe''..
Habari wanajf. Mimi ni kijana wa kiume. Nathubutu kusema nina mpenzi Tanzania-Dar na mimi nipo ughaibuni kwa masomo tangu october 2009 hadi 2013. Huyu mpenzi wangu anasoma Diploma BA Alinitaarifu kufiwa na baba yake. Pia aliniambia kapoteza simu, nilipomuuliza how akanimbia kwa utani we elewa tu nimepoteza simu, nikawa nampigia kupitia simu ya mama yake. Baada ya kuchukua muda mrefu bila simu nilimwambia kaka yangu ampe pesa anunue simu lakini aliniambia kuwa alinunua vitabu na si simu,nikaendelea kumpigia kupitia simu ya mama yake. Kuna muda aliniambia kuwa alipewa ada na kwa bahati mbaya aliipoteza ,hivyo tayari alishanitumia maombi ya ada laki 2,ingawa nilifanikiwa kumwelekeza kuwa kwa kipindi hiki nisingeweza kumsaidia mpaka december. Hivi karibuni nilimpigia mama yake na kunieleza kuwa tayari alishakuwa na simu[kwa nini asingeweza walau kunitumia sms kuwa sasa ana simu?] na nikampigia na kweli niliongea naye akanieleza kuwa sasa anatafuta hostel{hivyo anahitaji pesa toka kwangu}. Sasa kaka yangu aliyemtumia pesa alinishauri niachane naye kwa sababu anapenda sana pesa{ni nusu mchaga) kiasi kwamba hata hakuweza kutoa shukrani kwake.Niliwahi kumpa kazi ndogo ya kunitafutia information pale benki za Dar lakini hakunijibu chochote. Mpaka sasa nafikiri kumpigia simu na kumhoji maswali ambayo yatamwonesha kweli nipo mguu mmoja nje mwingine ndani. Yeye ni mzuri na anafikiri kuwa nimempenda kupindikua labda pia kinachomfanya anitie mashaka juu ya upendo wake kwangu. Ndugu zangu naombeni mnieleze iwapo kwa maelezo haya ninapendwa? au inayopendwa ni pesa yangu nilyonayo? Mimi sioni any kind of care hapo.Kwa hiyo nataka baada ya hapo nitafute kimwana huku na nianze kuishi maisha.
Nitajitahidi kumtafuta mtu hapa wa kuspend naye tym ili nisahau huyu,tatizo ni kwamba umpendaye hakupendi, yaani nimependwa na dada nisiyefeel kabisa.NI RAHISI KUKUSHAURI NA SI KUKUAMULIA.. √Aligundua kuwa unampenda kuliko maelezo na ulimjengea kiburi kitendo cha kujulikana kwa mama ake akajua ndo umefika na umetua hautaweza kuruka....Jikatae kaka kujitumbukiza majonzini daima kwa kujishauri na kuamua mwenyewe....SIKU UKIKOSA PESA ITAKUAJE???. Nooo...♥♥♥ ya kweli...Kaka pole sana kwa mkasa ulokukuta...Dada zetu cku hz hupendA short kati za kufanikiwa kimaisha...kwa kupenda kuwa na maisha mazuri pasipo kuyasotea...Hapo kwako pesa imependwa zaidi na si mapenzi.. √. Mapenzini kuzoeshana pesa ni tatizo kaka...Ni rahisi kutabili mwisho wake na conclusion yake iko simple...Jaribu hili ....Tulia muda mrefu pasipo kumpigia simu jicomeet tu na utaweza japo ni kazi... √Wakati unafanya haya yoooote make sure una tafuta mwenza wa karibu ili uspend time nyingi kimawazo kwake japo ukawa unamsoma kitabia na kujipanga namna ya kumdate....then akizidisha mizinguo mpotezee kaka koz THE GOAL OF LIFE IS HAPPINESS... ♣Then responce yake kwako itakuwa ni mshituko kwake..."mmmh hapa nimeachwa au" atakuwa dilema na taratibu kuanza kujirudi....waweza mpa nafasi kiduchu na muda huku ukisubiri aanze tena vibweka vyake...Akianza tuu ...unakata communication kimoja and stor inakuwa over... BINAFSI NAAMINI KATIKA ALTRENATIVE INAPUNGUZA STRESS.... CHUKUA HATUA
Habari wanajf. Mimi ni
kijana wa kiume. Nathubutu kusema nina mpenzi Tanzania-Dar na mimi nipo
ughaibuni kwa masomo tangu october 2009 hadi 2013. Huyu mpenzi wangu
anasoma Diploma BA Alinitaarifu kufiwa na baba yake. Pia aliniambia
kapoteza simu, nilipomuuliza how akanimbia kwa utani we elewa tu
nimepoteza simu, nikawa nampigia kupitia simu ya mama yake. Baada ya
kuchukua muda mrefu bila simu nilimwambia kaka yangu ampe pesa anunue
simu lakini aliniambia kuwa alinunua vitabu na si simu,nikaendelea
kumpigia kupitia simu ya mama yake. Kuna muda aliniambia kuwa alipewa
ada na kwa bahati mbaya aliipoteza ,hivyo tayari alishanitumia maombi
ya ada laki 2,ingawa nilifanikiwa kumwelekeza kuwa kwa kipindi hiki
nisingeweza kumsaidia mpaka december. Hivi karibuni nilimpigia mama
yake na kunieleza kuwa tayari alishakuwa na simu[kwa nini asingeweza
walau kunitumia sms kuwa sasa ana simu?] na nikampigia na kweli
niliongea naye akanieleza kuwa sasa anatafuta hostel{hivyo anahitaji
pesa toka kwangu}. Sasa kaka yangu aliyemtumia pesa alinishauri
niachane naye kwa sababu anapenda sana pesa{ni nusu mchaga) kiasi
kwamba hata hakuweza kutoa shukrani kwake.Niliwahi kumpa kazi ndogo ya
kunitafutia information pale benki za Dar lakini hakunijibu chochote.
Mpaka sasa nafikiri kumpigia simu na kumhoji maswali ambayo yatamwonesha
kweli nipo mguu mmoja nje mwingine ndani. Yeye ni mzuri na anafikiri
kuwa nimempenda kupindikua labda pia kinachomfanya anitie mashaka juu
ya upendo wake kwangu. Ndugu zangu naombeni mnieleze iwapo kwa maelezo
haya ninapendwa? au inayopendwa ni pesa yangu nilyonayo? Mimi sioni
any kind of care hapo.Kwa hiyo nataka baada ya hapo nitafute kimwana
huku na nianze kuishi maisha.
mpasulie bwanaa maisha yenyewe mafupi tusipeane stress. Lol( usije ukasema mi mchonganish).
Kiukweli wasichana huwa ni wazito sana kuwasiliana na wasiowapenda. Ni jambo ambalo hawezi kuficha. Kama anakupenda ni mwepesi kukujulia hali mara kwa mara.
Binafsi kuna watu hadi nasahau kama wapo kwenye phone book yangu maana hawapo machoni wala moyoni.
Stuka!
Nilishampotezea siku nyingi mno.nilishamsahau.tayar nina kimwana mwingine.