Ndiyo vijana wa CCM walivyo
Mkuu mahusiano pia ni sehemu ya jamii na yakitumika vizuri huleta maendeleo kiuchumi.
Mpe iPhone baab
Mara paaap anazimia baada ya kusoma comment hiiMpe iPhone baab
Pole sana charii, ni wazi unatumia RRDRRIIII TEKINOO na demu ana kitochi[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Walaaaa nmeshauri tuUnavopenda iPhone sasa mtoto wa mwanza mwanza™…
Usiseme hivo bana, jamaa kisha andaa jeans, t-shirt, Raba yake na amenyoaMara paaap anazimia baada ya kusoma comment hii
Si kweliWalaaaa nmeshauri tu
Asee tukutane basi next weekKama uko Dar, zama Mwenge pale ukamnunulie raba moja au moka moja saafi. Pia mfungie vitu vya kutafuna tafuna kama chocolate, biscuts za eat some more n.k... Pia kabla hamjakutana mchek kwenye simu umtumie elfu ishirini ya kukodi bajaji. Mkikutana itakuwa ni bashasha mwanzo, mwisho...
Poa poa. Ni inbobo no yako ya mpesa au tigopesa nikutumie nauli kabisa ili uwe na uhakika wa safari...Asee tukutane basi next week
Hahahaa...Kama uko Dar, zama Mwenge pale ukamnunulie raba moja au moka moja saafi. Pia mfungie vitu vya kutafuna tafuna kama chocolate, biscuts za eat some more n.k... Pia kabla hamjakutana mchek kwenye simu umtumie elfu ishirini ya kukodi bajaji. Mkikutana itakuwa ni bashasha mwanzo, mwisho...