idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,282
- 38,359
Clouds ni jamaa zako sana, na hili Ruge amekili asubuhi kwenye 360, amesema ukiomba radhi maisha yataendelea kama kawaida.
Imedhihirika wewe ni wa hapo hapo Dar kulingana na kauli ya Mheshimiwa mpaka hapo atakavyoamua vingine hapo baadae na sio kelele kupitia kwenye mitandao ya kijamii.
Clouds wanakujua na wewe unawajua yaani manajuana kiundani zaidi, kwa maana hiyo bado mnahitajiana.
Uzuri hao jamaa wa Clouds ni waelewa halafu wanajua wanachokifanya, na hii kupaniki kwao sio kwamba wamekwazika kihivyo ila ni presha tuu toka nje ndio imewajaza upepo...
Mazuri yako ni mengi kuliko mabaya yako.
Jua wewe sio wewe unaelengwa, ila kwa sababu hawana uwezo wa kumfikia mlegwa hivyo wewe ndio wa kutulizia hasira.
Ukibebwa mngongoni hata kama hujafungwa mbeleko shikilia mabegani.