R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Makonda ni wakati muafaka wa kutembelea vyombo vya habari vilivyoko mkoani kwako , ikizingatiwa asilimia 99% ya RADIO na TELEVISION zinazorusha matangazo nchi nzima zipo DAR ES SALAAM.
Raisi ajapendezwa na mwenendo wa vyombo hivyo. Ukianza na wakuu wengine wa mikoa watafuata kama VITA ZIDI YA BANGI na KUPIGANIA MISITU NA VIROBA. MADAWA YA KULEVYA
Kumbuka wizara zote zimeamishiwa DODOMA ; Umekabidhiwa jiji hili, ni wakati wa kukaa na wamiliki wa vyombo na si jukwaa la wahariri; ili uwapatie maelekezo aliyotoa Raisi . Ukipata majibu yawasilishe kwa waziri wa utamaduni ''MWAKYEMBE'' .
Nachojua huna ugomvi na wamiliki ila employee wa wamiliki ndo wanamsimamo. Inasikitisha zoezi ilo la kushauri vyombo vya habari umemuachia mchungaji Gwajima.
IKIZINGATIWA ZIARA YAKO MKOA DAR ES SALAAM , ILIKUWA NI KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI NA SI VYOMBO VYA HABARI. HII ITASAIDIA KUWA LINK BAINA YA WAZIRI NA RAISI JPM