COARTEM JF-Expert Member Joined Nov 26, 2013 Posts 3,622 Reaction score 3,696 Apr 25, 2025 #1 Ili kuongeza dhana ya uwajibikaji na uchungu kwa nchi, nashauri Makanisa yote Tanzania yaanze kulipa kodi ya mapato TRA ili kuongeza pato la taifa.
Ili kuongeza dhana ya uwajibikaji na uchungu kwa nchi, nashauri Makanisa yote Tanzania yaanze kulipa kodi ya mapato TRA ili kuongeza pato la taifa.
Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,566 Reaction score 2,986 Apr 25, 2025 #2 Na Misikiti nayo ilipe pia ila wenye Makanisa watakakuwa na haki ya kuhoji matumizi ya Pesa ndio itakuwa mwanzo wa Udini
Na Misikiti nayo ilipe pia ila wenye Makanisa watakakuwa na haki ya kuhoji matumizi ya Pesa ndio itakuwa mwanzo wa Udini
COARTEM JF-Expert Member Joined Nov 26, 2013 Posts 3,622 Reaction score 3,696 Apr 25, 2025 Thread starter #3 Royal Son said: Na Misikiti nayo ilipe pia ila wenye Makanisa watakakuwa na haki ya kuhoji matumizi ya Pesa ndio itakuwa mwanzo wa Udini Click to expand... Wote tu walipe KODI
Royal Son said: Na Misikiti nayo ilipe pia ila wenye Makanisa watakakuwa na haki ya kuhoji matumizi ya Pesa ndio itakuwa mwanzo wa Udini Click to expand... Wote tu walipe KODI
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 28,448 Reaction score 44,622 Apr 25, 2025 #4 Hayafanyi biashara, kodi ya nini?
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,766 Reaction score 21,474 Apr 25, 2025 #5 COARTEM said: Ili kuongeza dhana ya uwajibikaji na uchungu kwa nchi, nashauri Makanisa yote Tanzania yaanze kulipa kodi ya mapato TRA ili kuongeza pato la taifa. Click to expand... Hiyo Kodi iitweje?
COARTEM said: Ili kuongeza dhana ya uwajibikaji na uchungu kwa nchi, nashauri Makanisa yote Tanzania yaanze kulipa kodi ya mapato TRA ili kuongeza pato la taifa. Click to expand... Hiyo Kodi iitweje?