Ushauri: Mahindi ya Kuchoma

Unataka kufanya hicho kilimo wapi?
Kama ulikuwa unalima matikiti u aonekana hilo eneo lina maji.

Kama Uko Dar njoo nikupe connection ya kuuza majani ya maharage UK. Ikijaribu ukaona inakulipa mnunuxi anaweza be a tani moja kika wiki na mauzo ni kwa kilo

Nokirudi kwenye swali lako.-
- Bei ya jumla ya mahindi mabichi ni Tshs 200 hapahaijalishi kubwa ama dog.

- mbegu nyingi za kienyeji ambaza ni za mda mfupi mara nyingi mahindi sio makubwa kivile unless ni ya mda mrefu amvayo hsitakufa kwenye biashara

Mkuu hiyo biashara ya majani ya maharage ikoje?
 
Kila raheri mkuuu, mimi yako kwenye mbelewele na mengine yana watoto tayari
Hongereni nyote mm ya kwangu ni DK yako tayari na ninatafuta mteja niko Mpwapwa Dodoma ndo,nilizoea kulima nyanya ila niliamua kujaribu na mahindi nione nmelima kama hekar 2 na nusu.kama kuna mtu ana conection ya wateja tafadhar tujuzane.0627471648
 
Mimi nalima matikitii na mahindi kwa pamoja, hii ni mara ya kwanza nalima mahindi kwenye matikitii. Ila ni mzoefu wa kulima matikitii.

Nilishauriwa kua mahindi mazuri kwa kuchoma ni mbegu ya pioneer, hivyo nimelima hayo, nategemea mwezi wa 11 katikati yatakua tayari.

Huku buyuni - kigamboni, naambiwa wanunuzi hua wanayafuata shamba wenyewe, bei ni kati ya 250-300 kwa mahindi mmoja.nadhani ukinitafuta mwezi wa kumi na moja katikati nitakua na maelezo sahiii.

Ila kwenye matikitii ni mzoefu, mimi huwa nauzia soko la temeke stereo. Madalali usipo pata waaminifu ni Majuto.View attachment 1948774View attachment 1948776
Mkuu tunaomba update baada ya kuvuna. Pia kama ulikutana na changamoto zozote tokea umelima mpaka mauzo
 
Mkuu,changamoto kubwa niliyo kutana nayo ni mdudu lusomi,huyu mdudu ni hatari sanaaa kwa mahindi ya kiangazi.

Dawa nilikua natumia dudu all,inabidi uwe na ratiba ya mara mbili kwa wiki upige hiyo dawa,hadi yatapo weka mbelewele ndio unaweza acha kupiga dawa .

Niliuzia shambani kwa wachoma mahindi kuyafuata wenyewee, muhindi mmoja ulianzia 200-300.
 
Asante kwa hio feedback Mkuu. Hopefully pesa ilionekana
 
Yaani kitu kinachoulozwa leo Arusha kule tumefanya Kat ya mwka 2012 HV unaotesha unauziaa shamba yakiwa mabichi Kaz yako Ni kubeba majani tu kwa malisho
 
Mimi nalima matikitii na mahindi kwa pamoja, hii ni mara ya kwanza nalima mahindi kwenye matikitii. Ila ni mzoefu wa kulima matikitii.

Nilishauriwa kua mahindi mazuri kwa kuchoma ni mbegu ya pioneer, hivyo nimelima hayo, nategemea mwezi wa 11 katikati yatakua tayari.

Huku buyuni - kigamboni, naambiwa wanunuzi hua wanayafuata shamba wenyewe, bei ni kati ya 250-300 kwa mahindi mmoja.nadhani ukinitafuta mwezi wa kumi na moja katikati nitakua na maelezo sahiii.

Ila kwenye matikitii ni mzoefu, mimi huwa nauzia soko la temeke stereo. Madalali usipo pata waaminifu ni Majuto.View attachment 1948774View attachment 1948776
Mkuu hiki kilimo ni cha umwagiliaji ama?.
 
Ni vile tumekariri tu, ila hata Mahindi ya kuchemsha yaweza kuwa biashara kubwa tu,

Kuna mahali nilikuta hii biashara ni kubwa sana na kule hawana utamaduni wa kusubiri mahindi yakauke maana hawana ugali.

Taarifa za faida ya mahindi ya kuchemsha ikienezwa vizuri nayo ni biashara kubwa sana tu.
 
Mkuu,changamoto kubwa niliyo kutana nayo ni mdudu lusomi,huyu mdudu ni hatari sanaaa kwa mahindi ya kiangazi.

Dawa nilikua natumia dudu all,inabidi uwe na ratiba ya mara mbili kwa wiki upige hiyo dawa,hadi yatapo weka mbelewele ndio unaweza acha kupiga dawa .

Niliuzia shambani kwa wachoma mahindi kuyafuata wenyewee, muhindi mmoja ulianzia 200-300.
Kama ulipanda kwa Vipimo basi hapa kuna Faida. Labda utupe mwanga kidogo wa gharama maana binafsi ninataka kulima ola nina somo langu la nje
 
Kwenye gharama madhani maweza nisiwe najua sanaaa, maana mimi niliyalima Kwenye shamba langu lenye matkiti.

Hivyo garama zote zilibebwa na gharama za matikitii ukianzia, dawa hadi mbole.ila kilo moja ya pengu ya pioneer ni 13000 kwa bei ya kariakoo/kisutu.na heka moja wanasema inapandwa na kilo 2.

Kimsingi gharama huwa zina tegemea sana na aina ya kipimo, na eneo gani unalimia.mfano;kama ni kilimo cha umwagiliaji au mvuaa. Na je kama ni umwagiliaji unatumia mfumo gani wa umwagiliaji?,ukijua yote haya ndio unaweza kukadiria gharama za uenfeshaji wa maradi.
 
Back
Top Bottom