J jichopevu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 406 Reaction score 248 Dec 5, 2014 #2 Keshakwambia ana wa kwake, unataka ushauri gani tena?...Kukuulizia haina maana amekupenda katika muktadha uliyouchukulia wewe.Jaribu kuheshimu mahusiano ya watu
Keshakwambia ana wa kwake, unataka ushauri gani tena?...Kukuulizia haina maana amekupenda katika muktadha uliyouchukulia wewe.Jaribu kuheshimu mahusiano ya watu
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,852 Reaction score 131,808 Dec 5, 2014 #3 Imagine story yote hiyo hamna commer wala full stop....!
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,865 Reaction score 172,558 Dec 5, 2014 #4 mwanachuo....
Bill of Quantity JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 1,233 Reaction score 407 Dec 5, 2014 #5 Thamani ya elimu Tz haipo siku hizi. Huyu nae mwanachuo??
Tee Bag JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 7,220 Reaction score 5,627 Dec 5, 2014 #6 Eli79 said: Imagine story yote hiyo hamna commer wala full stop....! Click to expand... Mwanachuo
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,485 Dec 5, 2014 #7 Endelea kumfurahisha kwa kumwambia jambo lako. Huyo boy wake mbona atayeyuka kama mafuta ya Kimbo juani.
Endelea kumfurahisha kwa kumwambia jambo lako. Huyo boy wake mbona atayeyuka kama mafuta ya Kimbo juani.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,109 Dec 5, 2014 #8 :tonguez::A S-rap:
Polyxic JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 289 Reaction score 156 Dec 5, 2014 #9 Kwanza Chuo gani.? Usikute unataka kumchukua kipenzi changu.
Mtama kwa watoto JF-Expert Member Joined Mar 31, 2014 Posts 394 Reaction score 150 Dec 5, 2014 #10 Amesha kwambia ana boy wake, hapo kipi kilicho kua kigumu kuelewa? Au ushazowea wa pata sote huwezi kutafuta wako ..
Amesha kwambia ana boy wake, hapo kipi kilicho kua kigumu kuelewa? Au ushazowea wa pata sote huwezi kutafuta wako ..
Mama_Aheshimiwe JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 2,746 Reaction score 4,173 Dec 5, 2014 #11 Polyxic said: Kwanza Chuo gani.? Usikute unataka kumchukua kipenzi changu. Click to expand... Chaurembo computing center
Polyxic said: Kwanza Chuo gani.? Usikute unataka kumchukua kipenzi changu. Click to expand... Chaurembo computing center
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Dec 5, 2014 #12 hakuna comma hata unasoma mwanzo mwisho mwanachuo wapi weye
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Dec 5, 2014 #13 Heheheheeee