Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Mwenyekiti wangu Yusuf Manji. Salaam aleikhum!
Awali ya yote naomba niupongeze uongozi wa Yanga chini ya stewardship yako imara kwa mafanikio mliyoyapata on and off the pitch tangia mlipochaguliwa. Yeyote atakayebeza kwa namna yoyote ile achievements za uongozi wako huyo atakuwa si mwana-Yanga asilani!
Wanayanga wote sasa tunahitaji kutimizwa kwa ndoto yetu ya kuifanya timu yetu kuwa "TP Mazembe" ya Tanzania...kwa maana ya kupata mafanikio kwenye mashindano ya CAF.
Ni dhahiri round inayokuja mbele yetu tutakutana na Al Ahly ya Misri, ambacho ni kizingiti cha kwanza kikubwa kuelekea kutimizwa kwa ndoto yetu.
Ushauri wangu ni mdogo tu..... kuwa timu yetu ipate international trial matches kama 2 au 3 kabla ya kukutana na Wamisri. Napendekeza ufanyike mpango timu yetu icheze na timu zinazokaribiana makali na AlAhly kama vile Orlando Pirates, TP Mazembe, Enyimba, etc. Binafsi ninaamini kuwa matokeo ya mechi za majaribio na timu hizi yatakuwa ni barometer nzuri na sahihi kuhusu utayari wa timu yetu kuwakabili Wamisri.
Ni hilo tu kutoka kwenye mtima wangu.
Natanguliza shukurani zangu za dhati na Mungu aibariki safu ya uongozi wako, Mungu aibariki Yanga yetu!
Wasalaam.
Tisha-TOTO (mfurukutwa wa Yanga).