Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 40,744
- 118,697
Nyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Sasa kuna ushauri gani hapo!!Yanga Chukueni Huu Ushauri Mtaukumbuka Ipo Siku
Nyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Sasa kuna ushauri gani hapo!!Yanga Chukueni Huu Ushauri Mtaukumbuka Ipo Siku
Penye ukweli usemwe
Kwa Mpira ule yanga mkicheza CAFCL, Mifaulo kama ile, miguu yashingo miguu ya roho
Mapema tu mtalaum malefa.
😂😁😀Nyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Sasa kuna ushauri gani hapo!!