Yanga ni wakubwa sana nchi hii, wakubwa kuliko TFF ndiomana wanataka refa wao, wakubwa kuiliko league ndiomna wanataka tarehe yao ya mchezo na wakubwa kuliko waamuzi ndioman wana kanuni zao za kucheza. Wabishi walalamishi na wanaogopwa sana na waachambuzi wa mpira nchini. Hata huu ushaur sioni wakiufuata