Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,420
- 1,738
Ninapenda kuwaeleza watoa huduma za usafiri wa mabasi ya mikoani kwamba sisi abiria tunapenda kusafiri kwa raha na kufika salama.
1. Hatujawahi kuwaambia kwamba tuna haraka ya kufika hivyo acheni speed zisizokuwa na ulazima.
2. Kutokana na sisi kutokuwa na haraka huu mtindo wa kusimama dakika kumi sehemu ya kula na kutulazimisha tubebe take away hatuutaki. Yaani mkianza kula huko ndani hadi harufu inakuwa ni uvundo sasa
Huyu kiepe, huyu mayai, huyu ndizi mshare, huyu pilau, huyu ndizi bukoba, huyu parachichi, huyi mahindi ya kuchoma.
Hamna creativity jambo likishazoeleka na wafanyakazi wenu wanachukulia kwamba ndio utaratibu..."dakika kumi tu ukichelewa basi linakuacha" tena dakika kumi mnaanza kuhesabu hata abiria hawajashuka. Kuweni na ustaarabu na akili kiasi.
3. Mabasi ya kila route ya masaa zaidi ya sita mtengeneze vituo vya kujisaidia haja kubwa na ndogo zaidi ya viwili ama vitatu. Mtu anayetoka Dar - Dom ...gari isimame Chalinze for short call ya dakika tano, kisha Morogoro for lunch and short call ya 20- 30 minutes,
Gairo isimame kwa dakika tano for short call kisha Dodoma au kabla ya Dodoma isimame tena Kibaigwa. Kwani ni vita ndugu zangu? Mabasi yenyewe mabovu kisha mtutese na mikojo barabarani? Au kama vipi mabasi yote ya mikoani yawe na vyoo ndani kama Shabiby.