mnh siku za mwanzo ndio utakuwa unaumia,,,,siku zikienda atamsahau tu ,kujiweka mahali kama hapo ni kujitafutia kifo,magonjwa yalivyo mengi?...mie nashangaa yaani mmekutana wote ukubwani labda ushawahi kuwa na mpenzi(ex) mbona uliweza kumove on kwa hao wengine?????wanaume wapo kibao....
Asnam na Jestina, ndo maana mtoa mada anashauri usihangaike na mtu ambae unajua hauna ubavu wa kummwaga. Usiende kufumania mtu ambae unajua ni cheater. Kama hauna ubavu wa kujitibu malaria unaenda kupima ili iweje? Chuna tu! Ila kama unaenda kufumania uwe umeshajua unachotaka.
Majuzi shosti akichunguza simu ya bf akakuta baby~baby kibao. Akauliza akapigwa. Ati anasema ooh na hadi sasa hajanibembeleza wala kuomba msamaha. Yaani upigwe afu ungojee msamaha!
Hamna lolote nyie madem mnajidai hamtaki presha mnajiondoa halafu baada ya miaka miwili unaanza kutuma message kwa jamaa eti ooh sweet nimeikumbuka dushelele yako mara ooh nionje tu hata siku mojamoja sasa uliondokea nini ndo viburi visio na macho hivyo.mnh siku za mwanzo ndio utakuwa unaumia,,,,siku zikienda atamsahau tu ,kujiweka mahali kama hapo ni kujitafutia kifo,magonjwa yalivyo mengi?...mie nashangaa yaani mmekutana wote ukubwani labda ushawahi kuwa na mpenzi(ex) mbona uliweza kumove on kwa hao wengine?????wanaume wapo kibao....
Asnam na Jestina, ndo maana mtoa mada anashauri usihangaike na mtu ambae unajua hauna ubavu wa kummwaga. Usiende kufumania mtu ambae unajua ni cheater. Kama hauna ubavu wa kujitibu malaria unaenda kupima ili iweje? Chuna tu! Ila kama unaenda kufumania uwe umeshajua unachotaka.
Majuzi shosti akichunguza simu ya bf akakuta baby~baby kibao. Akauliza akapigwa. Ati anasema ooh na hadi sasa hajanibembeleza wala kuomba msamaha. Yaani upigwe afu ungojee msamaha!
bora upigwe kibuti ulie,unyamaze,maisha yasonge mbele kuliko kuwa na mahusiano na mtu mnafiki,anakupetipeti akitoka anaenda kupeti wengine kama watano afu unakaa unaridhika kisa unampenda,hahahahahaha ushauri wa kutiana presha huu
watu wengine bwana
sasa kama mtu anakupetipeti si uridhike. kama amapeti na wengine we shida yako nini? ilimradi anakupeti peti, we ridhika.
ukitaka kupetiwa peke yako, basi mwandikie Mungu barua akuumbie wako alone
ha ha haa! Ayanda we mkareeee!
Hiyo barua utaipost vipi sasa, na mimi niiandike?
kama ilvyo impossible kumuandikia Mungu barua, basi ndo impossible kabisa kuwa na mtu wako peke yako.
cha msingi usijue na mtu wako asikuonyeshe na usichunguze sanaaaaaaaaaa
watu wengine bwana
sasa kama mtu anakupetipeti si uridhike. kama amapeti na wengine we shida yako nini? ilimradi anakupeti peti, we ridhika.
ukitaka kupetiwa peke yako, basi mwandikie Mungu barua akuumbie wako alone
ndo maana ukaitwa ayanda mi nikaitwa Asnam kamwe hatuwezi kuwa sawa hivyo basi tusitafutane balaa hapo kwenye bold
ah mijitu mingine bana!
sasa balaa litoke wapi kwani utanionea wapi?
mijitu mingine mmekaa kibif bif tu kutwa kuwaza mabalaa mpaka kwenye mitandao
hebu kapunguze stress
ubarikiwe ww usiye na stress.