msuyaeric
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 862
- 1,264
- Thread starter
- #21
Uko na jicho la mbali sanaPole sana kwa yaliyokukuta...
Ila jibu ni hili hapa, ndege wafananao..
"Pamoja na yote kuolewa ndo utaolewa ila Mungu lazima atakupa mwanaume wa kuendana na ww mwanaume ambaye nae atakuwa alishafanya matukio ya ajabu na yasiyo simulika siku zake za nyuma
Na huyo ndo atakuwa mume wako."
Cc: mahondaw