GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,859
mzee wa rararara rerreeer shikarobo nusu achia rororrorr,hakakakakaa ohohohohho chakarobokosaNimehudhuria ibada za Wasabato mara kadhaa. Mara zote nimeona msisitizo mkuu wa mahubiri yao ni kuhusu siku ya Sabato.
Lakini pia niliona kuwa mahubiri yao kwa sehemu kubwa yanatoka kwenye vitabu vya Agano la Kale.
Hakuna ubaya kwa mahubiri kutoka kwenye Agano la Kale, lakini endapo hawasomi vitabu vya Agano Jipya, hasa Nyaraka (Epistles), watakuwa wakijipunja sana kwa hasara yao wenyewe bila wao kujua kuwa wanapunjika mno. Wanaweza wakajidanganya, wakadanganya, na hata kudanganywa kirahisi bila wao kujua kuwa wamepotoka, wanapotosha, na wanapotoshwa.
Kwa sababu ya kutokusoma vitabu vya Agano Jipya, wengi wamekuwa wakiyafuata mapokeo ambayo kimsingi hayawasaidii kiroho.
Nitoe ushauri kwa kila Msabato na mtu mwingine yeyote anayetaka kufahamu jinsi Mkristo anavyopaswa kuishi, ajitahidi kusoma vitabu vya Biblia vya Agano Jipya, hasa Nyaraka.
Hivi ndivyo vitabu vya Nyaraka vya kwenye Biblia: Warumi, 1Wakorintho, 2Wakorintho, Wagalatia, Waefeso, Wafilipi, Wakolosai, 1Wathesalonike, 2Wathesalonike, 1Timotheo, 2Timotheo, Tito, Filemoni, Waebrania, Yakobo, 1 Petro, 2Peteo 1Yohana, 2Yohana, 3Yohana, na Yuda.
Akishamaliza hivyo, avisome vitabu vya Injili pamoja na Matendo.
Baada ya hapo sasa, ndipo asome kitabu cha Ufunuo ikifuatiwa na vitabu vyote vya Agano la Kale kuanzia Mwanzo hadi Malaki.
Kwa msingi huo, atakuwa ameshavisoma vitabu vyote vya Biblia hivyo kutamfanya ang'amue utofauti wa maisha ya Agano la Kale na Agano Jipya.
Lakini kama atapaswa kusoma vitabu vichache tu, basi asome vitabu vya Nyaraka!
Kwa nini Nyaraka? Kwa sababu ndizo zenye mwongozo wa maisha ya Mkristo.
Kama mtu hajasoma vitabu vya Nyaraka, anaweza akawa anajitahidi kuyaishi maisha ya Agano la Kale kwenye kipindi cha Agano Jipya, jambo ambalo haliwezekani. Ataishaia tu kuvunjika moyo.
๐๐rararara rerreeer shikarobo nusu achia rororrorr,hakakakakaa ohohohohho chakarobokosa
SawaNimehudhuria ibada za Wasabato mara kadhaa. Mara zote nimeona msisitizo mkuu wa mahubiri yao ni kuhusu siku ya Sabato.
Lakini pia niliona kuwa mahubiri yao kwa sehemu kubwa yanatoka kwenye vitabu vya Agano la Kale.
Hakuna ubaya kwa mahubiri kutoka kwenye Agano la Kale, lakini endapo hawasomi vitabu vya Agano Jipya, hasa Nyaraka (Epistles), watakuwa wakijipunja sana kwa hasara yao wenyewe bila wao kujua kuwa wanapunjika mno. Wanaweza wakajidanganya, wakadanganya, na hata kudanganywa kirahisi bila wao kujua kuwa wamepotoka, wanapotosha, na wanapotoshwa.
Kwa sababu ya kutokusoma vitabu vya Agano Jipya, wengi wamekuwa wakiyafuata mapokeo ambayo kimsingi hayawasaidii kiroho.
Nitoe ushauri kwa kila Msabato na mtu mwingine yeyote anayetaka kufahamu jinsi Mkristo anavyopaswa kuishi, ajitahidi kusoma vitabu vya Biblia vya Agano Jipya, hasa Nyaraka.
Hivi ndivyo vitabu vya Nyaraka vya kwenye Biblia: Warumi, 1Wakorintho, 2Wakorintho, Wagalatia, Waefeso, Wafilipi, Wakolosai, 1Wathesalonike, 2Wathesalonike, 1Timotheo, 2Timotheo, Tito, Filemoni, Waebrania, Yakobo, 1 Petro, 2Peteo 1Yohana, 2Yohana, 3Yohana, na Yuda.
Akishamaliza hivyo, avisome vitabu vya Injili pamoja na Matendo.
Baada ya hapo sasa, ndipo asome kitabu cha Ufunuo ikifuatiwa na vitabu vyote vya Agano la Kale kuanzia Mwanzo hadi Malaki.
Kwa msingi huo, atakuwa ameshavisoma vitabu vyote vya Biblia hivyo kutamfanya ang'amue utofauti wa maisha ya Agano la Kale na Agano Jipya.
Lakini kama atapaswa kusoma vitabu vichache tu, basi asome vitabu vya Nyaraka!
Kwa nini Nyaraka? Kwa sababu ndizo zenye mwongozo wa maisha ya Mkristo.
Kama mtu hajasoma vitabu vya Nyaraka, anaweza akawa anajitahidi kuyaishi maisha ya Agano la Kale kwenye kipindi cha Agano Jipya, jambo ambalo haliwezekani. Ataishaia tu kuvunjika moyo.
Biblia si hadithi!Upo sahihi mkuu.
Nafueahi Unaelekea nilikotokea mimi na sio muda utagundua Biblia ni hadithi tu.
EeeehBiblia si hadithi!
Ni nini?Biblia si hadithi!
mkuu tunasoma vitabu vyoteNimehudhuria ibada za Wasabato mara kadhaa. Mara zote nimeona msisitizo mkuu wa mahubiri yao ni kuhusu siku ya Sabato.
Lakini pia niliona kuwa mahubiri yao kwa sehemu kubwa yanatoka kwenye vitabu vya Agano la Kale.
Hakuna ubaya kwa mahubiri kutoka kwenye Agano la Kale, lakini endapo hawasomi vitabu vya Agano Jipya, hasa Nyaraka (Epistles), watakuwa wakijipunja sana kwa hasara yao wenyewe bila wao kujua kuwa wanapunjika mno. Wanaweza wakajidanganya, wakadanganya, na hata kudanganywa kirahisi bila wao kujua kuwa wamepotoka, wanapotosha, na wanapotoshwa.
Kwa sababu ya kutokusoma vitabu vya Agano Jipya, wengi wamekuwa wakiyafuata mapokeo ambayo kimsingi hayawasaidii kiroho.
Nitoe ushauri kwa kila Msabato na mtu mwingine yeyote anayetaka kufahamu jinsi Mkristo anavyopaswa kuishi, ajitahidi kusoma vitabu vya Biblia vya Agano Jipya, hasa Nyaraka.
Hivi ndivyo vitabu vya Nyaraka vya kwenye Biblia: Warumi, 1Wakorintho, 2Wakorintho, Wagalatia, Waefeso, Wafilipi, Wakolosai, 1Wathesalonike, 2Wathesalonike, 1Timotheo, 2Timotheo, Tito, Filemoni, Waebrania, Yakobo, 1 Petro, 2Peteo 1Yohana, 2Yohana, 3Yohana, na Yuda.
Akishamaliza hivyo, avisome vitabu vya Injili pamoja na Matendo.
Baada ya hapo sasa, ndipo asome kitabu cha Ufunuo ikifuatiwa na vitabu vyote vya Agano la Kale kuanzia Mwanzo hadi Malaki.
Kwa msingi huo, atakuwa ameshavisoma vitabu vyote vya Biblia hivyo kutamfanya ang'amue utofauti wa maisha ya Agano la Kale na Agano Jipya.
Lakini kama atapaswa kusoma vitabu vichache tu, basi asome vitabu vya Nyaraka!
Kwa nini Nyaraka? Kwa sababu ndizo zenye mwongozo wa maisha ya Mkristo.
Kama mtu hajasoma vitabu vya Nyaraka, anaweza akawa anajitahidi kuyaishi maisha ya Agano la Kale kwenye kipindi cha Agano Jipya, jambo ambalo haliwezekani. Ataishaia tu kuvunjika moyo.
Ni kitabu chenye Maneno yenye Pumzi ya MUNGU!Ni nini?
Nahisi msisitizo mkuu mmeuweka kwenye vitabu vya Agano la Kale!
Kinajipinga chenyewe.. Kinamdhalilisha Mungu ambae Chenyewe kimemsifia. Mf:Ni kitabu chenye Maneno yenye Pumzi ya MUNGU!
Utakuwa umeondoa futureUkikitoa kitabu cha Daniel,msabato hana ujanja
hatakuelewa mzee wa rararara rerreeer shikarobo nusu achia rororrorr,hakakakakaa ohohohohho chakarobokosaUNAJUA LESSONI? MWONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA? NENDA KWA MSABATO YEYOTE YULE ATAKUPA THEN UANGALIA KM NI AGANO LA KALE TU AU LA?SAHV TUNA LESON TUNAJIFUZA YA KITABU INJILI YA MARKO.
Nimemaliza mkuu! Kifuatacho?Comrade utakuwa unavizia muda wa ibada kuu I mean pale mhubiri anapotaka kuanza kuwapa watu chakula, endapo ukifika kuanzia saa 2:30 unaweza kujua mada yako ina kasoro kubwa.
Fungua hapa ๐๐พ mkuu...
Baada ya kufungua hiyo link na kuingia page iliyo wazi scroll down to the end utaona siku zilivyojipanga, ninkila siku unajifunza habari za agano jipya.
Baada ya hapo nicheki hapa hapa uwanjani tusaidiane jambo.