miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Haaa sijawahi chat na wewe nikiamini hauko interesting..now najiuliza if I was wrong.....Nakuja jiandae na habari za gdp na uchumi wa dunia..ole wako ulete story za wema na kajala
Inategemea huyo anaekutongoza ana nia gani na wewe,kama ni kwa kufurahia tu ya nini akwambie au muongelee future plans. Mwenye future plans na wewe atakupa future yake.
shikamoo wakubwa ila siwanyimi chochote unaruhusiwa kuomba...
Hapo ndipo nilipopenda I wish nikuombe na mimi
hivi jamani haya maneno yanachosha kila siku kuongelea hayo hayo.
Okey basi mwanamke najaribu kubadilisha mada hata tuongelee utamaduni wetu huna hoja unajiumauama kiuchumi ndo kabisa nakupoteza hivi niwaulize huwa mnafikiria nini kwenye akili zenu?
Basi wanaume jiongeze basi ongea love yes, hapo hapo ongelea uchumi, siasa na hata utamaduni ili nijue una upeo gani wa kufikiri loh, mpira usiongelee wala movie.
Men are so clever, he looks directly unto your eyes, if he sees "chenga" don't expect him to talk sense!!..he will screw you and head on to search for a LADY!!
KWA HIZI TAKWIMU HATA USILALAMIKE miss chagga(NUMBERS DONT LIE)
Top Areas Of Posting
Mahusiano, mapenzi, urafiki -5,586
Love Connect -173
Ujasiriamali-10
Jukwaa La Biashara na Uchumi-7
Hmm.. Pole misschagga kwa kukumbana na wanaume ambao hawako vizuri kwenye conversations. Nadhani wengi wao sio wafuatiliaji wa masuala mbalimbali ya jamií kama siasa, uchumi, elimu n.k. Ndio maana mkikutana hawezi kukupa stori mpya zaidi ya 'i love you' nyingi tu
Alivyosema Tyta eti ni kweli?ooooh helll no so umekuja kunizuga au? basi usinitongoze yani huwa natamani kubeba meza kichwani ili kupunguza hasira... unakuta mtu wiki nzima ya kukufukuzia akija i love ooh umependeza..... hivi si unatongozwa sana? sasa mimi nikishaona hivyo nakupotezea..
ha ha ha haha ha haha ha ni kweli lakini ndo nataka kujua mkuuu ,,,, i love i hate this words jamani tooo much mnaboa
Ngoja na mimi naanzisha ya kwangu..... nitainame Umevaaaje..... ts coming soonMhhhh...leo naona ni wanaume day umu....kuna thread nyngne uko hatufanyi mazoez....hatufik round ngap cjuii...
Aya miss chaga nae anasema yake!...kwan kuna nn leo!!!...au leo ndo upepo mchafu umu...wakubwa tujuzeni!!
KWA HIZI TAKWIMU HATA USILALAMIKE miss chagga(NUMBERS DONT LIE)
Top Areas Of Posting
Mahusiano, mapenzi, urafiki -5,586
Love Connect -173
Ujasiriamali-10
Jukwaa La Biashara na Uchumi-7
NDG Mheshimiwa Spika Nachelea kuunga mkono hoja...
Nawasalimu wote, mambo zenu, shikamoo wakubwa ila siwanyimi chochote unaruhusiwa kuomba
Nirudi kwenye mada jamani kaka zangu na rafiki zangu wa kiume kwenye swala la kumtongoza mwanamke mnaboa jamani kila ukija unaongela mambo ya mapenzi tu oooh i love you, oooh sijui unaumbo nzuri hivi jamani haya maneno yanachosha kila siku kuongelea hayo hayo.
Okey basi mwanamke najaribu kubadilisha mada hata tuongelee utamaduni wetu huna hoja unajiumauama kiuchumi ndo kabisa nakupoteza hivi niwaulize huwa mnafikiria nini kwenye akili zenu?
All over the way unafikiria kuniambia i love you mimi huwa unanichosha jamani lets talk about other issues nichekeshe, tuongeleee uchumi, okey basi be funny mtu anaishia kukwambia i love na kubusu busu mikono hivi ni nini lakini BE CREATIVE GUYS LOH TOOO MUCH
Unakuta mwanaumme unamuuliza what is your plan for future anaongelea vitu vya ajabu a wengine amna majibu yani mimi nachefuka moyo nikiona mwanume ajielewi natamani kutapika.
Basi wanaume jiongeze basi ongea love yes, hapo hapo ongelea uchumi, siasa na hata utamaduni ili nijue una upeo gani wa kufikiri loh, mpira usiongelee wala movie.
Ihope mtajiongeza kwa kweli, nawapenda wote.
yani wanaboa kiasi kwamba loh.... be funny basi mtu hayupo charming lipo kama zigo tu