Ushauri kwa wanaume?

Ushauri kwa wanaume?

Goku 255

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
432
Reaction score
838
Mwanaume usijikite sana kwenye mapenzi, saka hela kwanza na kujiekeza. Usipoteze muda mwingi kutafuta mapenzi, utaumia, aliye na uwezo kuliko na atakunyang'anya demu.

Tafuta mmoja atakaye kupenda na mshirikiane kwenye utafutaji, kuliko anayetumia tu bila kujua ya kesho yatatoka wapi. Wanawake ni wazuri tatizo sisi wanaume tunaendekeza starehe,kuliko utafutaji.

Ila kwa yote mwanaume jiamin, chapa kazi usiwe legevu na usipende vya bure. Na kingine usikate tamaa, mwamini Mungu na yote yatakuwa sawa.
 
mwanaume usijikite sana kwenye mapenzi,saka hela kwanza na kujiekeza.Usipoteze mud mwingi kutafuta mapenz utaumia,kutakuja aliye na uwezo kuliko na ata kunyang`anya demu
Kwahiyo changamoto yako kubwa ni kwamba atakuwa mwenye mahela yake akunyang'anye Demu ?

Kamaa ni hivyo waje wananyang'anye hadi mke demu kitu gani kwenye ulimwengu huu?

Juzi kuna uzi humu mchezaji wa mpira sijui wapi huko kamfuma mke wake
Huyo jamaa anampa ma milioni10 kw wiki kama pocket money
Kamjengea nyumba
Anagari kali na bado kamfuma

Unasemaje kwa hilo? Tuseme amen au Ashindwe?
 
Huyo n kikwazo kabisa na ashindwe,atafute mkewe kwan madem hapa dar c wamejaa kibao
 
The truth is everyone is going to hurt you,
You just got to find the ones worth suffering for.
 
Kwahiyo changamoto yako kubwa ni kwamba atakuwa mwenye mahela yake akunyang'anye Demu ?

Kamaa ni hivyo waje wananyang'anye hadi mke demu kitu gani kwenye ulimwengu huu?

Juzi kuna uzi humu mchezaji wa mpira sijui wapi huko kamfuma mke wake
Huyo jamaa anampa ma milioni10 kw wiki kama pocket money
Kamjengea nyumba
Anagari kali na bado kamfuma

Unasemaje kwa hilo? Tuseme amen au Ashindwe?
Mtoa madaa kaangaliaa hii coment yako akakimbia speed kama swala aliyejeruhiwa..
 
Kila siku mara fanya hiki.mara fanya kile as if huyo unayemwambia ni mtoto....

Muwe mnakua nyie mnaoshauri hatutaki ushauri wa kitoto toto namna hii..
Hii 2026 una mshauri mtu kuhusu mademu... Are we seriously
 
Kama motivation ya kutafuta hela ni mademu basi hizo hela bora usizitafute. Boresha maisha yako, automatically mambo mengine yatakaa kwenye mstari. Kuanzia heshima unayoipata, urahisi wa kupata unachohitaji, mahusiano n.k
 
Back
Top Bottom