Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,056
- 1,867
Moja Kwa moja kwenye mada.
Kama mwanaume umezaa nje ya ndoa basi jitahidi umpe msingi wa maisha mwanao akiwa huko huko kwa mama yake. Kama ni kumsomesha msomeshe huko huko na kama ni kumpa mtaji, mpe mtaji akiwa huko huko Kwa mama yake Itapendeza akija kwenye familia yako akiwa tayari ana maisha yake.
Asilimia kubwa ya Wanawake wanakua na Roho mbaya na wanazipandikiza mpaka kwa watoto wao na kupelekea kumchukia ndugu yao. Watamuheshimu akija kuwatembelea akiwa kwenye usafiri Wake na akiwa na nafuu ya maisha.
Narudia tena Asilimia kubwa ya mama wa kambo wana Roho mbaya. Wazuri wapo ila ni wachache sana.

.