Ushauri kwa wanaume: Usiahidi ndoa hewa

Kweli mkuu bora kuwa muwazi inakuweka huru zaidi;kwa upande wangu mi huwa nawaambia ukweli nina familia,kama unataka tule maisha poa.lakini sio ndoa.
 
[emoji23] [emoji23] nishajaribu kusema nataka show tu nikaulizwa "unanichukuliaje kwani" nikagundua ukijifanya mkweli hupati kitu
Eeh mzee baba hawa ndugu zetu bila kamba 2 kamba ukijifanya unanyoosha maelezo watakuona siasa zako za maji taka tu!

Lazma uweke kabobo za kutosha ili kuibuka kidedea, ukishaanza kuskia "mmh,,kwelii?" ujue msumari umeshika vizuri kwenye mbao, kazi kwako tu!
 
[emoji23] acha tutangaze ndoa tu japo sio kupenda kwetu maana wanatulazimisha wenyewe
 
UKIWA MKWELI UNAKUWA BOYA..MWENDO WA FIKSI..HATA NTAYEMUOA NTAMPIGA FIKSI TU KUWA NIMEWAACHA WA ZAMANI
 
Huyo Malaya ni Muha au wa kanda ya ziwa? Maana wale na watu wa Mbeya haswa Rungwe na Mbozi ndiyo wanaoongoza kwa mazingaombe ya kishenzi ya namna hii.
Muha kudadadeki! Ila nilishafyekelea mbali. Naona maombi yenu yalifanya kazi
 
Muha kudadadeki! Ila nilishafyekelea mbali. Naona maombi yenu yalifanya kazi


Ni bora umemtupilia mbali na kusevu maisha yako maana ungezidi kuwa naye mwisho wa siku ungekuwa zombie wake tu. Waha bwana, si mwanamke si mwanamme yaani hawana afadhali wale....si unamuona Diamond jinsi anavyochezea watoto wa watu na kutembea na nyota zao ila wao hawajijuwi tu wanafikiri wanapendwa kumbe jamaa anawavuna nyota.
 
Hadithi nzuri hii
 
Vipi ukigundua huyo aliyeweka matumaini kwako bado ana uhusiano wa kimapenzi na ex wake tena na kidume mwingine zaidi halafu wewe umezaa nae mna mtoto mdogo unachukua uamuzi gani?
emu tatua hili nione hekima yako
 
Mkuu umemaliza kila kitu. Wa kuskia na askie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…