Ushauri kwa wanaume: Usiahidi ndoa hewa

Ushauri kwa wanaume: Usiahidi ndoa hewa

Bila kutangaza ndoa, mapema ni ngumu sana kuwapata igawa wapo na nishakutana nao. Wengine wanauliza je utanioa kama sio hivyo basi,

Shida inaanza pale mwenzako (binti) anapoweka imani na mategemeo makubwa kwako. Yaani anakutambulisha kwa ndg zake, anakuchukulia kama mume mtarajiwa kweli tena kwa unyenyekevu wote. Huyu huwa anaumia sana na ndiye malipo yake yanweza kukupata ukimdanganya si wale malaya wa mjini yaani hata ukimuahidi ndoa haimshughulishi.
 
Ilimradi tu umeandika cha kuwafurahisha mabinti tegemea response nzuri, ila kiuhalisia hakuna dame utakaemwambia unataka tu kupita akakuruhusu upite, walidanganywa, tunawadanganya na wataendelea kudanganywa

Mkuu hebu nisome vzr, kuna uwongo unaofanana na ukweli tena wa kuaminika. Yaani unamdanganya binti hadi anakuamini kwa moyo na akili yake yote. Anajenga imani kisawa sawa, anakuombea kwa Mungu akulinde kama mume wake mtarajiwa, yuko tayari akusaidie kwa kila alichonacho kwasababu umemuaminisha kuwa utamuoa. Hakika ukija kughairi tena bila sababu jua utayalipia machozi yake.
 
Mwanamke ambaye kabla hajakuuliza hata jina lako yeye anauliza unafanya kazi gani!! Dakika 20 mbele kakupiga mzinga wa pesa!!

Huyu machozi yake hata yajae ndoo, hayana madhara yeyote!! Yeye mwenyewe ni fisadi in the first place.

Huyo si mwanamke ninayemzungumzia hapa mkuu, huyo ni malaya wa kike.
 
Sasa usipowadanganya si utaishia kupiga nyeto tu mkali??

Toka enzi za mababu zetu wanadanganywa tu
 
Lakini ....nadhani ni nje ya maada! Ndoa si ni mpango wa Mungu au!na amesema kila mmoja atampatia wa kufanana naye. Sasa kama ukiunganisha ubavu wa simba na mbuzi inakuwaje labda.

Ili ndoa uwe mpango wa Mungu vijana wanapaswa kuishi maisha ya usafi (matakatifu) kama alivyoishi Bikira Maria enzi za ujana wake, muda ukifika Mungu kwa njia zake anakuletea mume /mke wa kufanana na wewe (ubavu wako) lakini ukitaka kuwaonja mpaka ukutane na ubavu wako hapo Mungu hayupo , japo kwa vile Mungu ni wa huruma baada ya nyie kukubaliana kuoana yeye anawahurumia na kuwabariki kwa uzazi na mafanikio mengine ya kimaisha.
 
Sasa usipowadanganya si utaishia kupiga nyeto tu mkali??

Toka enzi za mababu zetu wanadanganywa tu

Mkuu kuna kudanganya kwa aina nyingi sana, kuna uwongo wa kujenga imani kwa mtu, unajengea binti imani kwamba utamuoa kumbe wewe moyoni unajua ni uwongo huyu atachukulia uwongo wako tofauti na mwingine ambaye pamoja na kumuahidi hivyo hakukuamini wala kukuwa peke yako.
 
Ha ha ha, wadada huwa wananasa sana hiyo ahadi ya ndoa kuliko ahadi nyingine yeyote ile.

Mwahidi utamnunulia pochi na usitimize atasahau au kingine chochote na wala hakulalamikii umenidanganya, ila ukisema nitakuoa, ni kama umetoa ahadi ya kumpeleka peponi akifa. Hasahau na kila siku unakumbushwa, kah

Wadada acheni ujinga bwana.
 
Ili ndoa uwe mpango wa Mungu vijana wanapaswa kuishi maisha ya usafi (matakatifu) kama alivyoishi Bikira Maria enzi za ujana wake, muda ukifika Mungu kwa njia zake anakuletea mume /mke wa kufanana na wewe (ubavu wako) lakini ukitaka kuwaonja mpaka ukutane na ubavu wako hapo Mungu hayupo , japo kwa vile Mungu ni wa huruma baada ya nyie kukubaliana kuoana yeye anawahurumia na kuwabariki kwa uzazi na mafanikio mengine ya kimaisha.
Exactly
 
Hiki kipande,,"nitakuoa mpenzi" kimeonesha matokeo chanya sana katika kufanikishia vidume wengi kupata huduma pendwa ya mikito.com, yani katika wanawake 100 utakaowapa sera zako ukidhihirisha kwamba upo tayari kuoa 90 katika wote watakubali kuanzisha uhusiano na hatimae kutoa penzi mapema bila usumbufu!

Sasa we jichanganye useme unataka mpige gemu tu af basi, nina hakika katika hio idadi utaokota wale ambao ni malaya sugu tu!
 
Itakavyokua na iwe, si tunawachapa nao aisee, kwanza mdada ukimweleza ukweli humpati.
 
Dah umenigusa kabisa 100%...

Kuna malaya mmoja ananikomalia kweli nami simtaki, halafu anapenda ushirikina balaa! Naomba mnapoliombea jiwe nami mnikumbuke...

Huyo Malaya ni Muha au wa kanda ya ziwa? Maana wale na watu wa Mbeya haswa Rungwe na Mbozi ndiyo wanaoongoza kwa mazingaombe ya kishenzi ya namna hii.
 
Hii ni miongoni mwa thread ambazo huwa nikisoma naishiwa nguvu za kiume ghafra.
 
Hiki kipande,,"nitakuoa mpenzi" kimeonesha matokeo chanya sana katika kufanikishia vidume wengi kupata huduma pendwa ya mikito.com, yani katika wanawake 100 utakaowapa sera zako ukidhihirisha kwamba upo tayari kuoa 90 katika wote watakubali kuanzisha uhusiano na hatimae kutoa penzi mapema bila usumbufu!

Sasa we jichanganye useme unataka mpige gemu tu af basi, nina hakika katika hio idadi utaokota wale ambao ni malaya sugu tu!
nishajaribu kusema nataka show tu nikaulizwa "unanichukuliaje kwani" nikagundua ukijifanya mkweli hupati kitu
 
Back
Top Bottom