kindikwili
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 1,862
- 2,876
- Thread starter
-
- #41
Bila kutangaza ndoa, mapema ni ngumu sana kuwapata igawa wapo na nishakutana nao. Wengine wanauliza je utanioa kama sio hivyo basi,
Ilimradi tu umeandika cha kuwafurahisha mabinti tegemea response nzuri, ila kiuhalisia hakuna dame utakaemwambia unataka tu kupita akakuruhusu upite, walidanganywa, tunawadanganya na wataendelea kudanganywa
Usipo sema utamuoa hupati mchezo
Mwanamke ambaye kabla hajakuuliza hata jina lako yeye anauliza unafanya kazi gani!! Dakika 20 mbele kakupiga mzinga wa pesa!!
Huyu machozi yake hata yajae ndoo, hayana madhara yeyote!! Yeye mwenyewe ni fisadi in the first place.
Sjaelewa
Lakini ....nadhani ni nje ya maada! Ndoa si ni mpango wa Mungu au!na amesema kila mmoja atampatia wa kufanana naye. Sasa kama ukiunganisha ubavu wa simba na mbuzi inakuwaje labda.
Sasa usipowadanganya si utaishia kupiga nyeto tu mkali??
Toka enzi za mababu zetu wanadanganywa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na kweliLakini ....nadhani ni nje ya maada! Ndoa si ni mpango wa Mungu au!na amesema kila mmoja atampatia wa kufanana naye. Sasa kama ukiunganisha ubavu wa simba na mbuzi inakuwaje labda.
ExactlyIli ndoa uwe mpango wa Mungu vijana wanapaswa kuishi maisha ya usafi (matakatifu) kama alivyoishi Bikira Maria enzi za ujana wake, muda ukifika Mungu kwa njia zake anakuletea mume /mke wa kufanana na wewe (ubavu wako) lakini ukitaka kuwaonja mpaka ukutane na ubavu wako hapo Mungu hayupo , japo kwa vile Mungu ni wa huruma baada ya nyie kukubaliana kuoana yeye anawahurumia na kuwabariki kwa uzazi na mafanikio mengine ya kimaisha.
Dah umenigusa kabisa 100%...
Kuna malaya mmoja ananikomalia kweli nami simtaki, halafu anapenda ushirikina balaa! Naomba mnapoliombea jiwe nami mnikumbuke...
πππππππππππΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈNaomba mnapoliombea jiwe nami mnikumbuke..
[emoji23] [emoji23] nishajaribu kusema nataka show tu nikaulizwa "unanichukuliaje kwani" nikagundua ukijifanya mkweli hupati kituHiki kipande,,"nitakuoa mpenzi" kimeonesha matokeo chanya sana katika kufanikishia vidume wengi kupata huduma pendwa ya mikito.com, yani katika wanawake 100 utakaowapa sera zako ukidhihirisha kwamba upo tayari kuoa 90 katika wote watakubali kuanzisha uhusiano na hatimae kutoa penzi mapema bila usumbufu!
Sasa we jichanganye useme unataka mpige gemu tu af basi, nina hakika katika hio idadi utaokota wale ambao ni malaya sugu tu!