Ushauri kwa wanaume: Usiahidi ndoa hewa

Dah umenigusa kabisa 100%...

Kuna malaya mmoja ananikomalia kweli nami simtaki, halafu anapenda ushirikina balaa! Naomba mnapoliombea jiwe nami mnikumbuke...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jombaa si umuache
 
Lakini ....nadhani ni nje ya maada! Ndoa si ni mpango wa Mungu au!na amesema kila mmoja atampatia wa kufanana naye. Sasa kama ukiunganisha ubavu wa simba na mbuzi inakuwaje labda.
 
Asante kwasomo zuri
Umewakumbusha kuondoa nadhiri
Ambayo ugeuka kuwa laana endapo ijaondolewa kwa wakati

Nadhiri nadhiri nadhiri naogopa sana kuweka nadhiri

Mtumishi asante
 
He he he muwe wawazi mtu ajue kasimamia wapi thou mwanamke bila uwongo kidogo hamuendi
Bila fix huwa wanazingua. Lakini huyu nilimchana kabisa mapema hata kabla hatujaanza kwamba mimi umri wa kuoa bado kama miaka 7, yeye kajipendekeza kichwakichwa akijua atabadili mawazo yangu sasa naona pigo zake za ki-sangoma sangoma ndo anazidisha tu. Mniombee nisije geuzwa msukule
 
Mbona sis wanaume tukiachwa hatuendi kurogaa......? Malipo ni humu humu jamii forum,,, ukiniroga narogolowa....

Mkuu sisi Mungu katupa uwezo wa kushinda mengi sana, ukisikia neno mwanaume haimaanishi kuwa na uume tu bali pia nguvu na uwezo wa kushinda yaliyoshindikana. Kuachwa kwa mwanaume ni sehemu ya mambo madogo sana kwakwe lakini kwa mwanamke aliyejenga matumaini kwako kuachwa kunamsumbua sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…